Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

Sisi ambao tupo New York tunashangaa kiujumla mnawezaje kuishi kwenye nchi masikini kama Tanzania
1000013499.jpg
 
Hata wanaoishi ulaya wanashangaa watu wanao ishi Afrika, hujasikia wanasema dar inayonuka?
Tehetehetehe, Hakuna wazungu wanaokaa dar wote mikoani.
 
😁😁😀😀na hili joto kajisweka huko buza kachumba ka1 choo na bafu la kushea halafu usiku tanesco wanakata umeme anakua kakaa kama kwenye microwave ila anajiona kawin maisha
Dar ni Jiji tamu na la raha sana kuliko sehemu ingine hapa nchini kama ukiwa na hela, ofisi yako Ina AC, gari Ina AC, unapokaa ni self na pana AC na standby generator umeme ukikatika usiku, lina ji switch on lenyewe AC inaendelea kukupuliza, ila kama mtu huna hela, Dar ni kuzimu ya duniani, bora ukae mkoani, usipokua na hela unaingia shambani unachuma ndizi au mahindi unachemsha, usiku joto si Kali, siku inapita Ausar
 
Mtu mzima ovyooo,watu wako Dubai ila wamejituliza hawawabezi wanaoishi buguruni malapa,mwananyala na kinondoni moscow we unaishi kwa shemeji yako buguruni sheli maneno kibao
 
KUishi dar ni kama ngiri anavyoishi kwa shida porini muda wote ni kukimbizana na kurudi kinyume nyume kwa kasi ya star link
 
Toka huko hifadhi ya taifa masikini wewe utafanana na nyani usijifarij
Toka huko hifadhi ya taifa masikini wewe utafanana na nyani usijifarij

Toka huko hifadhi ya taifa masikini wewe utafanana na nyani usijifariji
Sasa hivi watanzania wote tukiishi DSM patatosha kweli? Alafu ni kupe siri, sehemu yeyote ukiwa unauwezo wa generate income nzuri yakutosha wala hawezi paona kwamba pana boa ,na ndio maana unaona wageni koutoka USA , china na ulaya wanajichimbia Africa tena katika miji midogo ambayo haina uzuri wa aina yeyote. why ?
 
Toka huko porini mkuu utafanana na nyani
 
Back
Top Bottom