Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,647
Kuna wakati nakosa majibu lakini pia kuna wakati kuna huwa ninawashangaa unakuta mtu kaachwa lakini bado analazimisha urafiki Ex wake ambaye amemuumiza na kumkosesha raha lakini bado anamfuatilia.
Inafika wakati Ex wake anampiga mizinga hatari halafu anachokipata anahonga mpenzi wake mpya inafika hatua mtu anatambua anachokitoa yeye ndicho anachopewa mwingine huku moyoni a naendelea kuumia.
Ukweli ni kwamba ex wako hawezi kuwa rafiki yako ex wako ni adui yako hakunaga urafiki ma ex wawili waliopenda sana wakaachana mmoja wapo akaumia alafu wakabaki marafiki.