Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ex ni wa kumkaushia, ukipita hata karibu na kwao/kwake unarusha mawe juu ya bati na mchanga dirishani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ex ni wa kumkaushia, ukipita hata karibu na kwao/kwake unarusha mawe juu ya bati na mchanga dirishani
But yeye hajaongelea kusameheana amezungumzia kila mtu kushika zake na kuendelea na maisha aliyochagua.Usiporudi nyuma kwa kitu kidooogo km hiki lazima psychologically unaumwa. Kwani ulimkuta bikra huyo? Kunantu alikuwa anapiga.
Hakika utakufa mapema bila kujua. Jifunze kusamehe.
Km utampiga pin unajipiga pin ya taarifa za maadui zako weye mwenyewe.
Am speaking through experience de word "love!!"But yeye hajaongelea kusameheana amezungumzia kila mtu kushika zake na kuendelea na maisha aliyochagua.
Sasa kama mtu kwa utashi wake aliamua kukuacha then anarudi kukuchombeza huyu mtu anakuwa sawa kiakili kweli?!
Kama alihisi amerogwa kwann asinambie nimsaidie kupambana na hiyo hali ya kulogwa....?!Am speaking through experience de word "love!!"
Maisha yana mambo mengi mno! Cha muhimu kuishi kwa kusamehe baaasi!!
Unajua upepo uliomkumba mwenzio?
Wengine
wanarogwa.
shawishiwa.
kupigwa upepo nk akili zinakuwa si zao. Lkn km ulikuwa humpendi sawa muache aende.huyo hukumpenda.Bali ulimtamani
Lkn km ulipenda!!!! Heee!!! Usicheze na pendo wewe!! Watu wengi wa sifa wanakufa/uawa/vichaa ajili ya pendo....
Upendo si kitu cha kutomasa tomasa hivi kijana na usiombe ya kukute.ruka na cd weeee lkn siku ukinasa hkn dawa.
Manabii walisema karne nyingi kuwa...
upendo hautakabari.
Upendo hauhesabu mabaya.
Husamehe yote. Zaidi ya hapo
Si upendo huo...
Matokeo ya ulozi huwa ni too late!! Km huna kinga ya kutosha.Kama alihisi amerogwa kwann asinambie nimsaidie kupambana na hiyo hali ya kulogwa....?!
Mimi nikiona nataka kumfanyia usaliti mwenzangu huwa nakaa nae chini namwambia ninachopitia huwa ananisaidia..... Ataniuliza maswali na nitamjibu....
Basi bado mdogo !! kuna siku utakutana na moyo wako!! ulio bebwa na mtu mume unatembea barabarani utashangaa ''Mark ma words'' mpakakichwa kuuma yupo wako hasa lazima tuu!! utamuona km unasali!!Hatuwezi kufanana wote we km unaweza kuvumilia mtu wa hivuo Basi nikupongeze ila mi siwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Matokeo ya ulozi huwa ni too late!! Km huna kinga ya kutosha.
Usirudie tena kumtonya mkeo pindi unapo chepuka.
utalipata la kukupata!! Ugeuke simba na usipate dawa. Unajua simba luwala waleee wa Mtwara? Ndo ilikuwa km haya unayo sema.
Halafu unaonekana huna uzoefu wa kuchepuka. watu rijali wana michepuko 2000 kwa uchache.
Sasa hebu nambie utakavyo mpa taarifa mkeo wa hiyo michepuko!! Atakuona kituko make ni kazi hasa zaidi ya matangazo Redio tanzania.
Huu ujumbe Ni wangu au umekosea kaka?Basi bado mdogo !! kuna siku utakutana na moyo wako!! ulio bebwa na mtu mume unatembea barabarani utashangaa ''Mark ma words'' mpakakichwa kuuma yupo wako hasa lazima tuu!! utamuona km unasali!!
Acha ushamba wa mapenzi weweKuna wakati nakosa majibu lakini pia kuna wakati kuna huwa ninawashangaa unakuta mtu kaachwa lakini bado analazimisha urafiki Ex wake ambaye amemuumiza na kumkosesha raha lakini bado anamfuatilia.
Inafika wakati Ex wake anampiga mizinga hatari halafu anachokipata anahonga mpenzi wake mpya inafika hatua mtu anatambua anachokitoa yeye ndicho anachopewa mwingine huku moyoni a naendelea kuumia.
Ukweli ni kwamba ex wako hawezi kuwa rafiki yako ex wako ni adui yako hakunaga urafiki ma ex wawili waliopenda sana wakaachana mmoja wapo akaumia alafu wakabaki marafiki.
Ukweli MtupuUkiona mtu amerudiana na x wake ujue hao watu hawakupendana kabisa kabisa Kati yao na hao Wana interest za ki bussiness tu, kwenye real love hurudi nyuma
😀Kwa matumizi ya kupasha kiporo siku simba ukikosa swala!
👣Wengine sio wanaachana kwa ugomvi isipo kua kwa principles, kwahiyo hamna sababu ya kujenga wa adui, wakati kuna mambo mengine mnaweza kusaidiana na ku share.
😂Hayo maumivu Makali ndio maumivu gani ?
HaswaaaaUmetufungia mjadala kiongozi
Naunga mkonyo hojaKamwe siwezi kumchukia EX hata kama nilimpenda mno na Kaniumiza mno, Sababu nikimchukia mimi pia ntandelea kujiumiza bure hivyo namsamehe hata kama Hajaniomba msamaha.
lakini pia siwezi katu kuwa na Ukaribu na EX na wala siwezi kujibu sms yake na Akinipigia simu na nikafaham ni yeye Siwezi kuruhusu mazungumzo yoyote na EX hata ya salamu, sababu Kukaribisha mazungumzo yoyote au mahusiano na mtu Anayejua udhaifu wako in and out ni kukaribisha hatari ya Kurudi ktk mahusiano na kujiandaa kuumizwa tena.. nikikutana naye Ana kwa Ana Nampa salamu na Akinisalimia pia najibu salam yake then hakuna mazungumzo ya ziada nje na Salam..
Noelia!! Mapenzi ni ya ajabu sana, Wakati mwingine mtu waweza furahia mipangilio tu ya mdada a!!! hata Maneno tu ya mdada wa Jf, au avatar tu km hii!! na ukajenga picha kichwani. kwa mbaali kaupendo kakajaa kwa sehemu ya Moyo!Huu ujumbe Ni wangu au umekosea kaka?
Labda iongeze .comSamahanini jamani, mnaposema ex mnamaanisha nini?