Usiporudi nyuma kwa kitu kidooogo km hiki lazima psychologically unaumwa. Kwani ulimkuta bikra huyo? Kunantu alikuwa anapiga.
Hakika utakufa mapema bila kujua. Jifunze kusamehe.
Utabeba mangapi moyoni humo ??hata uongozi wa nyumba kumi huwezi achilia. Mbalii familia hutaweza. Usione me wenzako wako kwa barabara wana mengi wamepotezea tu.
Mpaka ameondoka unawaza tu makosa yake.kwani wewe hukumkosea?? Sasa kwa nini aende kwingine??
Labda domo lako lanuka.
Labda hujui kukatika.bin kibamia mtoto anataka mshedede!
Labda huna shape nzuri
Labda mchoyo
Labda mchawi
Labda unajamba hovyo wkt unakojoa!!
Labda alisikia weye chakula
Haya yoote yanaweza kufanywa na wapinzani wako pia au weye binafsi km kujambajamba hovyo.sasa km akija utajua meengi makasoroi!!
Pia ni km spy wako aliye kukusanyia taarifa
Km utampiga pin unajipiga pin ya taarifa za maadui zako weye mwenyewe.