Hivi unawezaje kujenga urafiki na Ex wako aliyekuacha kwa maumivu makali?

Hivi unawezaje kujenga urafiki na Ex wako aliyekuacha kwa maumivu makali?

Wanaweza rudiana upendo ukawa mwingi zaidi ya awali pia au ukapungua .. wengi wanao rudiana nao kutana nao mapenzi huwa bora zaidi ya yaliyopita huwa wanakuwa wame upgrade
Ni ngumu sana wala kuwa ka mwanzo tena nakupuuzia kabisa, kurudiana na ex it's like reading an old chapters expecting to get something new.
 
Namuunga Smaki mkono..kuachwa kwa suprise inafanya Ex kurudiana...ila wasiwasi wqngu sion kama wata future maana lazma mmoja wao ata revange
No future bana na watu huwa hawabadiliki mwisho wa sikuhizi kuumizana, Bora tuheshimiane ka watu tulio share happy moments basi na sio kurudiana

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Ni ngumu sana wala kuwa ka mwanzo tena nakupuuzia kabisa, kurudiana na ex it's like reading an old chapters expecting to get something new,

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Ukiona kuna gumu sana, ujue kuna rahisi sana.. dunia mfumo wake ndio upo hivyo, ukiona kuna kizuri jua kuna kibaya... ukiona kuna ma ex wakirudiana yanae kombo, jua kuna ma ex wakirudiana wanakuwa bora zaidi
 
ukiona kuna gumu sana, ujue kuna rahisi sana.. dunia mfumo wake ndio upo hivyo, ukiona kuna kizuri jua kuna kibaya... ukiona kuna ma ex wakirudiana yanae kombo, jua kuna ma ex wakirudiana wanakuwa bora zaidi
Mimi sirudishi matapishi yangu yawe mazuri wallah. Mimi ni mbele kwa mbele

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Mimi sirudishi matapishi yangu yawe mazuri wallah. Mimi ni mbele kwa mbele

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Hii umesema wewe binafsi, lakini sio kila mtu yupo kama wewe. Mioyo ipo tofauti na machaguzi tofauti na hata watu mnavyotazama maisha ni tofauti. Uamuzi wako ni mzuri na anae rudiana na ex wake pia ni uamuzi mzuri. Ni kuheshimu choise za mtu kwenye maisha yake 😀😀😀😀
 
Hii umesema wewe binafsi, lakini sio kila mtu yupo kama wewe. Mioyo ipo tofauti na machaguzi tofauti na hata watu mnavyotazama maisha ni tofauti. Uamuzi wako ni mzuri na anae rudiana na ex wake pia ni uamuzi mzuri. Ni kuheshimu choise za mtu kwenye maisha yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kurudiana na ex ni kwanza wote wabovu mumekosa kitu kipya Bora zaidi loh

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Kurudiana na ex ni kwanza wote wabovu mumekosa kitu kipya Bora zaidi loh

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Hivyo ndivyo unavyotazama wewe na ni mawazo yako, upo sahihi kwa namna yako ulivyo. Pia haupo sahihi kwa namna ya wengine. Mtu ulie ishi nae na kuheshiana nae , akakuuguza jua lake na mvua yake, joto lake na baridi likawa lake, mwili wake ukawa wako ... ikatokea lakutokea haijalishi baya gani, haifuti hayo mazuri na upendo uliokuwepo na Mungu anapofungua mlango wa kurudiana maisha yanaweza yakawa bora zaidi maana wote wanaweza wakawa wamejifunza
 
Kurudiana na ex ni kwanza wote wabovu mumekosa kitu kipya Bora zaidi loh

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Sio kila EX ni EX wengine wanakuwa ex kwasababu kuna mazingira yanakuwa wawe ma Ex ili wajifunze waje wajenge kilicho bora zaidi. Wapo ma Ex walio rudi wamekuwa bora zaidi kuliko mnao kimbilia vipya
 
Hamnaga thamani ya x hata siku moja, mimi kwangu x hana thamani kabisa tena sitaki hata mazoea
 
Nimekupenda bure / nikufuate inbo? Haaaahaaahaa
Ukiona mtu amerudiana na x wake ujue hao watu hawakupendana kabisa kabisa Kati yao na hao Wana interest za ki bussiness tu, kwenye real love hurudi nyuma
 
Hebu niweke kambi kidogo hapa [emoji144][emoji144][emoji144]
 
Back
Top Bottom