Hivi unawezaje kujenga urafiki na Ex wako aliyekuacha kwa maumivu makali?

Hivi unawezaje kujenga urafiki na Ex wako aliyekuacha kwa maumivu makali?

Kamwe siwezi kumchukia EX hata kama nilimpenda mno na Kaniumiza mno, Sababu nikimchukia mimi pia ntandelea kujiumiza bure hivyo namsamehe hata kama Hajaniomba msamaha.

lakini pia siwezi katu kuwa na Ukaribu na EX na wala siwezi kujibu sms yake na Akinipigia simu na nikafaham ni yeye Siwezi kuruhusu mazungumzo yoyote na EX hata ya salamu, sababu Kukaribisha mazungumzo yoyote au mahusiano na mtu Anayejua udhaifu wako in and out ni kukaribisha hatari ya Kurudi ktk mahusiano na kujiandaa kuumizwa tena.. nikikutana naye Ana kwa Ana Nampa salamu na Akinisalimia pia najibu salam yake then hakuna mazungumzo ya ziada nje na Salam..


Naludia.....
 
Ni sawa sisi masingle mothers, kumrudia aliyeshindwa kutambua thamani yako au kumpa mbunye wakati upo na mume mwingine.Naumiaga sana,tunadharaulika sana yaan.MSIMAMO EFU
 
Noelia!! Mapenzi ni ya ajabu sana, Wakati mwingine mtu waweza furahia mipangilio tu ya mdada a!!! hata Maneno tu ya mdada wa Jf, au avatar tu km hii!! na ukajenga picha kichwani. kwa mbaali kaupendo kakajaa kwa sehemu ya Moyo!

Sijui wadada wana nini Machoni mngejua?? hee!! angalia hata tulipokuwa mafunzo ya JKT, Shuleni , yaani mdada kuadhibiwa km midume haipo kabisa. na atakae fanya hivo anaweza pigwa hata na mpita njia.
😂😂😂Hiiiiiii ya kweli haya 'nyaru'
 
😂😂😂Hiiiiiii ya kweli haya 'nyaru'
Yaani kabisaaa!!! ukiwa na kijana wa kiume mkubwa shababi km miaka 15 kwenda mbele!! Mmeo hakugusi kwa kichapo acha kukukoromea tu hata iweje!! huwaga inakuja tu from no where!!

akilazimisha kwa umri huu kuleta ukauzu anakaribisha laana ya ukoo wake kabisaa!!! wazee wa ukoo wanajua hapa jinsi ya kumkemea lkn sasa siku hizi tuko mjini!! halafu wamama wanapenda sana vi boy vyao! navo vinakuwa ivoivo!!

KM ikitokea mmeo akakupiga mbele ya mtoto wa kiume!! Mtoto lazima atamkinga Mama asipigwe na Baba! hapa ni km baba atashindwa kumvumilia mkewe! ndo maana wanaume wanasomesha watoto wa kiume faster waondoke nyumbani!

Kinyume na hapo baba awe na adabu mno!! si unaona!! Hata iweje piga ua Mama lazima apewe msaada wowote na watoto! achilia mbali pesa anayo taka! tena kuliko Baba! ivoivo na njiani pia kamwe hutampiga mkeo Barabarani wapita njia!! hasa wanaume wakuache tu! weee!!

Dawa yake iko hivi mwanaume yeyote anae pitia hapa!! ukiona watoto wako wamekuwa wakubwa sasa, acha kabisa kumtia vitasa mkeo!! kumgombeza bila staha !! ndo zawadi pekee kwako, Mkeo na hao wanao,

Hakuna kitu kinacho waumiza watoto Duniani mote! hasa wa kiume!! Mama yao kudhalilika tena some times na kashfa juu!! na jitahidi wee baba tena mno uwezavyo umpende mkeo kuliko kawaida hata ukiona vepe jipendekeze tu kwani nini bwana hakuoni mtu!! utafaidi...

Lkn nakwambia leo hii ukiwa kauzu tu! Baba ........ heeee!! pole!! utaona kila rangi!! kifo cha mapema pia! japo Umewasomesha kwa hela yako, zaidi utafia usipo pajua hata uwe na Mali vepe!! jioni ni jioni tu ukiwa kauzu tegemea giza totoro mbele,

watakao kupa tochi uone mwanga ni huyo Mkeo km ukimhurumia na akakupenda, lakini na ili akupende ni wewe mwenyewe!! hata iweje Mwanamke yeyote anapendwa popote Duniani mtajifaragua weee lkn......

ndo maana Me tunachagua sana!! na kuahirisha mapendo kila inapobidi sometimes tukigundua makosa yetu tuko tayari kurudi kwa machozi !! hata humu chunguza myoyo ya wawili ikikutana inaongea!

unaweza soma tu thread ya mdada au Men ukapata kakitu! km kapicha flani hivi!! ka mwito japo huwaoni na huwajui! Uongo Noelia!!! Daaa!! jamani ...huyu jamaa!! Mungu!!! ama kweli fundi haswaaa!! nimemkubali...
 
Yaani kabisaaa!!! ukiwa na kijana wa kiume mkubwa shababi km miaka 15 kwenda mbele!! Mmeo hakugusi kwa kichapo acha kukukoromea tu hata iweje!! huwaga inakuja tu from no where!!
Mwanaume akijua wajibu wake mbona atafurahi, umesema uhalisia sana, na uishi hivyo sio uishie kuandika tu watakaobisha na wabishe fainali uzeeni
 
...yaani hata mimi nashangaaga watu wengine...mweeh
 
Tifautisha kupenda mtu na kurudiana naye, ukipenda serious once your hurt hurudi nyuma, hujakutana tu na hizo case ujue kiundani
Wanaweza rudiana upendo ukawa mwingi zaidi ya awali pia au ukapungua .. wengi wanao rudiana nao kutana nao mapenzi huwa bora zaidi ya yaliyopita huwa wanakuwa wame upgrade
 
Tifautisha kupenda mtu na kurudiana naye, ukipenda serious once your hurt hurudi nyuma, hujakutana tu na hizo case ujue kiundani
Namuunga Smaki mkono..kuachwa kwa suprise inafanya Ex kurudiana...ila wasiwasi wqngu sion kama wata future maana lazma mmoja wao ata revange
 
ukiona unamchukia ex jua bado unaishi kwenye maumivu
Una akili sana mku unatumia kinywaji gani labda!!! nini unataka hapo kwa Mangi??? ila kisizidi Miiillion 12, nikitoka kazini, ntapitia jioni nimlipe!!!
 
But yeye hajaongelea kusameheana amezungumzia kila mtu kushika zake na kuendelea na maisha aliyochagua.

Sasa kama mtu kwa utashi wake aliamua kukuacha then anarudi kukuchombeza huyu mtu anakuwa sawa kiakili kweli?!
Msamehe zile zilikuwa haisra tuu!!
 
Taka zilizo tupwa zawezakukufaa sana kuotesha mazao na ukala! au ukatengeneza Gas! ya kupikia! bado uka save hela kifupi taka ni mali! usimwche x-wako hivi hivi! aende!
 
Una akili sana mku unatumia kinywaji gani labda!!! nini unataka hapo kwa Mangi??? ila kisizidi Miiillion 12, nikitoka kazini, ntapitia jioni nimlipe!!!

Hiyo 12M nikopeshe tu kila mwezi nakupa 1.3m
 
Amejirudi na ulikuwa bado unampenda! Achana na mapenzi bwn, hayana principles
Naona wewe bado mdogo na hayajakukuta!! nasema mie!! .......kwa mwanadamu halisi ?? acha kabisaa!! Mapenzi yanauma! bwana!! weee!!! km donda bichi, unaweza pata Mwingine sawaaa!! tena akiwa km Malaika!!! tena weeeengi sana!!

Lkn sasa roho yako ikawa imemdondokea huyooo!!! utajifanyafanya tu! lkn kiundani unaendeshwa na roho ya Musundi!! na huyo Musundi akikomaa kukukataa utajuta! bora awe anakusemesha kidogo karoho kanatulia!! ni Nature siyo sheria ya nyarusare!

mbaya zaidi akipendeza vitako vikawa ivi!! na kipua chake kilee! vimacho ivo !!! Mama wee! ndo Mauaji kabisaaaa!!! fikiria kuna watu humu Duniani wana diriki kuua kabisaa aende jela maisha yake yote ili yaishe!

Ile mpendwa wako wa zamani anapo pita mbele yako vitako vinapo tikisika!!! na moyo wa muhusika unadunda ivo!! ivo!! utake usitake!! ndo ivo utajifariji weee!! lkn wapi! ke wengi sana duniani wameachwa wakarudiana tena!

ebu wewe fikiria tu!! Mwana wa Mungu, Madaraka na utajiri wooote ule! (Yesu) aliacha!! akafa ajili ya upendo tu!! wa kondoo wake waliopotea!! wewe nani bana? eti usipende? upendo ni sehemu ya maumbile bana ndani ya mwanadamu!

Kama umeumbwa kwa mfano wake Mungu! utaumia vilevile! lkn km siyo utaona ni kawaida!! na ukiona Me au Ke kaachwa na karidhika huyo siyo mtu wake sahihi! wa kwake yupo asonge mbele tu! upendo wa Agape ni shida bana wee! usidanganywe! ukamtema wako utajuta!

amtafute tu! ako sehemu kajaa tele! huja jua! na yeye ana hangaika, km weye unavoachwa achwa! amtafute kwa maombi tu! wallah! atampata? heeee! utaona maajabu!! na hutumii nguvu nyingi!!

Mungu mwenyewe alisemaga hivi ''Mke mwema ........wee nani mpaka upinge?? na ukimpata sahihi hata uuze genge!! hela hizooo mtaziona!! mtanunua mpaka Helicopter mia mbili! mnakodisha tu!! sasa ingiakiburi cha uzima umteme zote zitaungua dakika sifuri!
 
Back
Top Bottom