Hivi unawezaje kutumia risasi za moto dhidi ya waandamanaji?

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Haya yalikuwa ni mauaji ya makusudi kabisa, Hakuna nchi yeyote duniani ambapo polisi hutumia risasi na bunduki wanapokuwa wanakabiliana na waandamanaji. Wengi wa waandamanaji mara nyingi ni raia wa kawaida tena wasio na mafunzo kabisa ya kijeshi unawezaje kutumia bunduki dhidi yao?

Katika maandamano makubwa, mabomu ya machozi hutumika zaidi kutawanyisha mikusanyiko, pamoja na mbinu nyingine zinazoendana na kiasi cha nguvu inayohitajika katika kukabiliana na raia wanaoandamana, Ila hili la kumiminia watu risasi LIVE! ni matumizi makubwa mno ya nguvu na Haya ni mauaji ya kukusudia!

MUNGU ATUREHEMU! WAPUMZIKEKWA AMANI.

View attachment 3497376

View attachment 3497377
Huu ushetani unamshangaza hata Ibilisi mwenyewe!
 
Back
Top Bottom