AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,378
Habari wanajamvi, kwanza kabisa nitumie fursa hii kumpa pole ndugu yetu na mtanzania mwenzetu bwana Mohamed Dewji kwa mtihani ulompata, na pia naipa pole familia nzima ya wakina Dewji na watanzania kwa ujumla kwa fazaa iliyowapata baada ya kusikia taarifa za kutekwa kwa bwana Mo.
Niende sasa kwenye lengo na swali la uzi huu , baada ya Mo kutekwa familia ilitangaza donge nono la shilingi BILIONI MOJA kama zawadi kwa atakayefanikisha kupatikana kwake.
Swali langu kwako JE KAMA WEWE UNGEFANIKIWA KUIPATA ZAWADI HIYO UNGEITUMIAJE ILI KUIZALISHA ZAIDI?.
Hilo ndio swali langu kwako karibu jamvini tujadili.