Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au unataka tutumie nikiwa mdogoHahahahAa
Anza kuitumia sasa hiviAu unataka tutumie nikiwa mdogo
Sina wa kutumia naye kama uko tayari nivunje kibubuAnza kuitumia sasa hivi
Nipo hapa mkuu kivunje tuSina wa kutumia naye kama uko tayari nivunje kibubu
Unaweza fikisha mama Mungu Ana mbinu zake za kuinua watuI was going to build biiiiiiig houses for homeless.
I was going to build more mental hospitals sababu currently they are few,
ninge support wakulima wa nchi hii,sababu watanzania hasa vijijini wengi ni wakulima,
ningejenga maktaba(library) nyingi,watanzania wengi wasome wawe knowledgeable hasa wale ambao hawakupata formal education,
YA MWISHO NINGEIPINDUA SERIKALI YA CCM,IPO HAPO KWA SABABU ZA KIDHALIMU,HASA NA MIMI NIKIWA NA MADORALI YA KUTOSHA NITAINUNUA NCHI(kweli hizi ni ndoto,billioni moja sidhani kama nitafikisha million kumi in my entire life lols 🙄🙄🙄🙄
Jaribu kubet mkuu 10million pesa ndogo sana kwenye kubet usikate tamaa mapemaI was going to build biiiiiiig houses for homeless.
I was going to build more mental hospitals sababu currently they are few,
ninge support wakulima wa nchi hii,sababu watanzania hasa vijijini wengi ni wakulima,
ningejenga maktaba(library) nyingi,watanzania wengi wasome wawe knowledgeable hasa wale ambao hawakupata formal education,
YA MWISHO NINGEIPINDUA SERIKALI YA CCM,IPO HAPO KWA SABABU ZA KIDHALIMU,HASA NA MIMI NIKIWA NA MADORALI YA KUTOSHA NITAINUNUA NCHI(kweli hizi ni ndoto,billioni moja sidhani kama nitafikisha million kumi in my entire life lols 🙄🙄🙄🙄
Jaribu kubet mkuu 10million pesa ndogo sana kwenye kubet usikate tamaa mapema
Basi tusubirie Mo atekwe tena watangaze dauNipo hapa mkuu kivunje tu
Njia ya mafanikio haijulikani usitegemee njia moja jaribu njia tofuati tofauti mkuumkuu wacha nipambane hivi hivi tu,kucheza biko nitakufa kwa presha,lol
Nimejikuta wivu umenishika utafikili umezipata kweli hizo pesa hebu fikilia unaanzaje kutoa milion100 fungu lakumi kanisani? daah boraa tu iishie kua ni stori tu kua tunaongea hayawez kutokea maana nimestukaBillion moja kwanza ningenunua NYUMBA ya Kama million 400, hapo inabaki 600m. Natoa 100m napeleka Kanisani (fungu LA kumi), 10 msikitini, 20M Ocean Road, 20M nyingine kuna kituo cha watoto yatima naendaga napeleka hull iwasaidie, 200m naenda kununulia bonds za serikali. 100M nafanyia kitu Fulani hivi cha hela, 50M namuwekea mwanangu fixed account, Mama nampa 50M Na yeye afanye yake, 10M naenda nayo Maldives Na bby kwa gharama yangu. Inayobaki tutaitumia taratibu mpaka iishe
Natamka kuanzia sasa na wewe utaitwa bilionea sema AMENIIIIIIUnaweza fikisha mama Mungu Ana mbinu zake za kuinua watu
We ukinipa hata million 50 tu nakupa ujuzi wote ninaojua.
Njia ya mafanikio haijulikani usitegemee njia moja jaribu njia tofuati tofauti mkuu
HahahahaaaaBasi tusubirie Mo atekwe tena watangaze dau
We ukinipa hata million 50 tu nakupa ujuzi wote ninaojua.