Hivi ungejaaliwa kuipata blioni moja ungeitumiaje?.

Hivi ungejaaliwa kuipata blioni moja ungeitumiaje?.

Ningejenga nyumba kali nimpe mama. Ninunue gari kali nimepe baba.

Nasomesha wadogo zangu wote. Inayobaki nakula maisha, ikikaribia kuisha nanunua gun, ikiisha mje msibani.
 
Million 200 naenda pale DSE kuonana na wataalamu nanunua hisa za kutosha .
2:Nafanya mpango wa admission Massachusetts Instute of Technology (MIT) nikimaliza pale naingia Havard School of business,hapo nitakuwa nimetumia kama miaka 7 hivi kusoma na exposure za kutosha .

Nikiwa Havard naangalia upepo wa siasa bongo.
Chama ambacho kitakuwa madarakani nachukua kadi kabisa .
Nikirudi nafungua Kampuni yangu najua tender zitakuwepo za kutosha .
And guess what .!! After 6/7 years mtakuwa mnanisoma forbes as Young billionaire .
 
Back
Top Bottom