Hivi ungejaaliwa kuipata blioni moja ungeitumiaje?.

I was going to build biiiiiiig houses for homeless.

I was going to build more mental hospitals sababu currently they are few,

ninge support wakulima wa nchi hii,sababu watanzania hasa vijijini wengi ni wakulima,

ningejenga maktaba(library) nyingi,watanzania wengi wasome wawe knowledgeable hasa wale ambao hawakupata formal education,

YA MWISHO NINGEIPINDUA SERIKALI YA CCM,IPO HAPO KWA SABABU ZA KIDHALIMU,HASA NA MIMI NIKIWA NA MADORALI YA KUTOSHA NITAINUNUA NCHI(kweli hizi ni ndoto,billioni moja sidhani kama nitafikisha million kumi in my entire life lols 🙄🙄🙄🙄
 
Million 100 ningemhonga Mzigua90 anipe papuch yake hata bao moja tu, million 400 ningemhonga Mzigua90 anipe papuch yake wiki nzima niigegede, million 200 ningemhonga Mzigua90 anikatie mauno ya aina zote, na million 300 ningemhonga Mzigua90 ili arudi tena wakati mwingine
 
I was going to build biiiiiiig houses for homeless.

I was going to build more mental hospitals sababu currently they are few,

ninge support wakulima wa nchi hii,sababu watanzania hasa vijijini wengi ni wakulima,

ningejenga maktaba(library) nyingi,watanzania wengi wasome wawe knowledgeable hasa wale ambao hawakupata formal education,

YA MWISHO NINGEIPINDUA SERIKALI YA CCM,IPO HAPO KWA SABABU ZA KIDHALIMU,HASA NA MIMI NIKIWA NA MADORALI YA KUTOSHA NITAINUNUA NCHI(kweli hizi ni ndoto,billioni moja sidhani kama nitafikisha million kumi in my entire life lols 🙄🙄🙄🙄
Unaweza fikisha mama Mungu Ana mbinu zake za kuinua watu
 
Jaribu kubet mkuu 10million pesa ndogo sana kwenye kubet usikate tamaa mapema
 
Billion moja kwanza ningenunua NYUMBA ya Kama million 400, hapo inabaki 600m. Natoa 100m napeleka Kanisani (fungu LA kumi), 10 msikitini, 20M Ocean Road, 20M nyingine kuna kituo cha watoto yatima naendaga napeleka hull iwasaidie, 200m naenda kununulia bonds za serikali. 100M nafanyia kitu Fulani hivi cha hela, 50M namuwekea mwanangu fixed account, Mama nampa 50M Na yeye afanye yake, 10M naenda nayo Maldives Na bby kwa gharama yangu. Inayobaki tutaitumia taratibu mpaka iishe
Nimejikuta wivu umenishika utafikili umezipata kweli hizo pesa hebu fikilia unaanzaje kutoa milion100 fungu lakumi kanisani? daah boraa tu iishie kua ni stori tu kua tunaongea hayawez kutokea maana nimestuka
 
Back
Top Bottom