AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,378
Hahhahahhahaaa umetishaaaaa halafu mm na Shunie ungetupeleka makao makuu ya Heineken tukaogelee woiiiBillion moja kwanza ningenunua NYUMBA ya Kama million 400, hapo inabaki 600m. Natoa 100m napeleka Kanisani (fungu LA kumi), 10 msikitini, 20M Ocean Road, 20M nyingine kuna kituo cha watoto yatima naendaga napeleka hull iwasaidie, 200m naenda kununulia bonds za serikali. 100M nafanyia kitu Fulani hivi cha hela, 50M namuwekea mwanangu fixed account, Mama nampa 50M Na yeye afanye yake, 10M naenda nayo Maldives Na bby kwa gharama yangu. Inayobaki tutaitumia taratibu mpaka iishe
Me nadhani zenji tupafanye pa mwisho...tuanzie manila kwanza...au siyo boss ledee??Nimesahau. Nyie nitawapeleka Zanzibar mkanywe mpaka muombe poo
Nyie tu mtachagua mnapotaka kwenda. Hata mwezini nawapelekaMe nadhani zenji tupafanye pa mwisho...tuanzie manila kwanza...au siyo boss ledee??
Imebidi nicheke sana kuona hilo neno Zanzibar, weekend hii tulienda kujifungia znj sehem sehem na rafiki zangu kula bata, kurudi leo jioni boat ya mwisho, pale bandarini TRA aisee wanasachi mikoba kama wameahidiwa kuongezwa mishahara vile, ni wasumbufu mpaka kero.Nimesahau. Nyie nitawapeleka Zanzibar mkanywe mpaka muombe poo
HahhahahNyie tu mtachagua mnapotaka kwenda. Hata mwezini nawapeleka
Mkuu sasa unadhani Yale mapato yaTRA tutafikiaje malengo bila kutafuta mianya Kama hiyo ya nyie wala bata wa Zanzibar? Siku nikutane nao wanifanyie huo usumbufu Na hiki kigugumizi changu naweza watukanaImebidi nicheke sana kuona hilo neno Zanzibar, weekend hii tulienda kujifungia znj sehem sehem na rafiki zangu kula bata, kurudi leo jioni boat ya mwisho, pale bandarini TRA aisee wanasachi mikoba kama wameahidiwa kuongezwa mishahara vile, ni wasumbufu mpaka kero.
Mi nliwatolea mpaka nguo za ndani boxer nikawapangia juu ya meza kwa kero zao. Nikabaki najiuliza hizi ni nchi mbili tofauti au ni nchi moja kweli!!!!
Bora umejisemea ukweliUnajua fika masikini akipata matako hulia mbwata...mm niwe mkweli hata sijui ningeanza na nn...??nadhani ningekodi boti inipeleke pacific ocean...nikirudi ndioo nianzee sasaaa kuwaza vzr..
Sina uhakika kama mipango yote hiyo ingekamilika....maana mipango si matumiziBillion moja kwanza ningenunua NYUMBA ya Kama million 400, hapo inabaki 600m. Natoa 100m napeleka Kanisani (fungu LA kumi), 10 msikitini, 20M Ocean Road, 20M nyingine kuna kituo cha watoto yatima naendaga napeleka hull iwasaidie, 200m naenda kununulia bonds za serikali. 100M nafanyia kitu Fulani hivi cha hela, 50M namuwekea mwanangu fixed account, Mama nampa 50M Na yeye afanye yake, 10M naenda nayo Maldives Na bby kwa gharama yangu. Inayobaki tutaitumia taratibu mpaka iishe
Kuna dada nlimkuta kanunua pasi ya nguo wanamdai risiti na kule znj wenzetu hawatumii risiti za electronic, kachambuliwa begi hatari.[emoji120] Jamaa hawana stara hata kwa wakina mama, mtu anatolewa mpaka sidiria za ndani (wengine hata kufua unakuta hajafua, sidiria chafu ukiisimamisha inasimama dede yenyewe bila sapoti yoyote).Mkuu sasa unadhani Yale mapato yaTRA tutafikiaje malengo bila kutafuta mianya Kama hiyo ya nyie wala bata wa Zanzibar? Siku nikutane nao wanifanyie huo usumbufu Na hiki kigugumizi changu naweza watukana
Hahhahah shosti 1B sio mchezoo ujuee...nakuwa na uwezo wa kutumia kila siku 1laki kwa miaka 27 sasa ntaacha kuchanganyikiwa kweli???Bora umejisemea ukweli
Sio Haki sasa hapo.Kuna dada nlimkuta kanunua pasi ya nguo wanamdai risiti na kule znj wenzetu hawatumii risiti za electronic, kachambuliwa begi hatari.[emoji120] Jamaa hawana stara hata kwa wakina mama, mtu anatolewa mpaka sidiria za ndani (wengine hata kufua unakuta hajafua, sidiria chafu ukiisimamisha inasimama dede yenyewe bila sapoti yoyote).
HahahahAaCha kwanza kabisa nabet timu mbili za uhakika kwa kuweka dau la 500million halo sikose 1.5 billion plus na 500million iliyobakia inakuwa 2billion ..
Naificha hiyo hela kwenye kibubu mpaka niwe mkubwa nianze kuitumia