Million 200 naenda pale DSE kuonana na wataalamu nanunua hisa za kutosha .
2:Nafanya mpango wa admission Massachusetts Instute of Technology (MIT) nikimaliza pale naingia Havard School of business,hapo nitakuwa nimetumia kama miaka 7 hivi kusoma na exposure za kutosha .
Nikiwa Havard naangalia upepo wa siasa bongo.
Chama ambacho kitakuwa madarakani nachukua kadi kabisa .
Nikirudi nafungua Kampuni yangu najua tender zitakuwepo za kutosha .
And guess what .!! After 6/7 years mtakuwa mnanisoma forbes as Young billionaire .