Hivi urafiki wangu na wewe, unaletaje mazoea kwa wanangu?

Hivi urafiki wangu na wewe, unaletaje mazoea kwa wanangu?

Atlast nimempata

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
386
Reaction score
680
Kuna jamaa mmoja mtaani tukajenga mazoea! Mara hayo mazoea kayapeleka kwa mtoto wangu kiasi cha kumuachia kitu cha thamani ya kwamba atakipitia. Huyo mtoto kakiacha sehemu si salama kikaibiwa! Japo jamaa kaonyesha kutomind, lakini kwa uthamani wa hicho kitu nathani sijui itakuwaje! Sasa nikajiuliza! Urafiki ni kati yangu na wewe! Imekuwaje unamwachia mtoto wakati ulipokuja uliambiwa sipo? Kwanini hukuondoka zako wakati mimi mwenyenyumba sipo? Ujasiri wa kumuachia mtoto ili hali hatuna mazoea ya muda mrefu kati yetu na familia zetu umeutoa wapi? Ama nasema uongo wana jamvi?
 
Ana mvizia shemeji yetu jiandae kufumaniaa
Actually, mimi sijapenda kabisa! Mimi urafiki wetu tulikuwa tunakutanaga mbali na home sehemu moja hivi! Sasa huo ujasiri wa kujiiba na kuja nyumbani ukamkuta kijana kakuambia sipo, si angeliondoka!
Yaani, naona kama anataka kuniletea matatizo! Hawa watoto nilishawahi kuwaambia wasipokee vitu vya watu kama sipo na wala wasimpe mtu kitu changu (kuazima) hila si unajua vijana wa siku hizi kichwa ngumu
 
Kuna anachokitafutaa ,kuwa nae makini 😀
 
Kama yeye hajamind kwa nini wewe umemind? Si ameshajua kosa lake? Kama unaona huo urafiki wenu hauna manufaa basi umalize kimya kimya kuliko kuuleta huku. Unaonekana wewe ndo mwenye shida. Au ni Last Born?
 
Hauna ujasiri wa kumface umwambie haujapenda alichokifanya?? 😎
 
Back
Top Bottom