Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 386
- 680
Actually, mimi sijapenda kabisa! Mimi urafiki wetu tulikuwa tunakutanaga mbali na home sehemu moja hivi! Sasa huo ujasiri wa kujiiba na kuja nyumbani ukamkuta kijana kakuambia sipo, si angeliondoka!Ana mvizia shemeji yetu jiandae kufumaniaa
Mimi, rafiki, mtoto wote jinsia ya kiumeAliyeachiwa huo mzigo ni wa kike au wa kiume
TUANZIE HAPO
Kuna anachokitafutaa ,kuwa nae makini πActually, mimi sijapenda kabisa! Mimi urafiki wetu tulikuwa tunakutanaga mbali na home sehemu moja hivi! Sasa huo ujasiri wa kujiiba na kuja nyumbani ukamkuta kijana kakuambia sipo, si angeliondoka!
Yaani, naona kama anataka kuniletea matatizo! Hawa watoto nilishawahi kuwaambia wasipokee vitu vya watu kama sipo na wala wasimpe mtu kitu changu (kuazima) hila si unajua vijana wa siku hizi kichwa ngumu
Mimi hapo nimeishampa red card!Kuna anachokitafutaa ,kuwa nae makini π
Noted!Kama yeye hajamind kwa nini wewe umemind? Si ameshajua kosa lake? Kama unaona huo urafiki wenu hauna manufaa basi umalize kimya kimya kuliko kuuleta huku. Unaonekana wewe ndo mwenye shida. Au ni Last Born?
Notedkwani siku mnaanzisha hayo mazoea ulitushirikisha au mliwekeana mipaka?