Hivi urembo wa huyu binti nauona peke yangu?

huyu binti nimemkumbuka Miriam Odemba.hizi colour za dhahabu waliowengi wanajichubua wanakua na muonekano mbaya wa ngozi.
 
"Uzuri wa Mwanamke ni udhaifu wa macho yako"
Maneno ya babu yangu kutoka visiwa vya ukerewe.

Btw hata mimi macho yangu ni dhaifu kwake.

Sent from my Nokia 3.4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…