SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyo demu ni mzuri sana, huyo nikimpata fasta natoa posa kabla wenye kutambua wanawake wazuri hawajaniwahi. Hata kuhonga mimi wanawake weusi nakata pochi ya nguvu, nawapenda kisha nawaheshimu sana wanawake weusi wanaojua thamani ya rangi zaoWa kawaida saaaaaaaaaana.