Hivi Urusi husubiri nini kuivamia jirani Finland ukizingatia kachokozwa na kuchokonolewa kwenye mapua na masikio

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Finland na Urusi wanachangia mpaka wenye urefu zaidi ya kilomita 1,300km
Urusi amejiingiza kwenye vita dhidi ya Ukraine akiwa na nia ya kuonyesha makucha yake kwa majirani wote, na kuwaonya wasijiunge NATO na wala wasimsaidie Ukraine, ila huyo Finland amekua akikiuka hiyo amri kwa kumsaidia Ukraine kwa kila namna, amekua akituma silaha nyingi huko ambazo zimetumika kuua maelfu ya wanajeshi wa Urusi na kuwatesa sana Warusi, je Urusi anasubiri nini kufanya kweli, maana huyo Finland halindwi na NATO, na sio Finland tu, majirani wengine kama Sweden pia wamekua wanatuma msaada wa silaha.

Ikumbukwe Finland wameanza mikakati ya kujiunga NATO, jameni Urusi achokozwe mpaka wapi ndio afanye chochote, kashikwa kidevu, kaguswa na kupapaswa kunako mle mle lakini bado anasema anasubiri achokozwe......
==========================

Finland will send another shipment of weapons to Ukraine, its prime minister said on Thursday, three weeks after the Nordic country broke with longstanding policy to deliver arms.

The shipment “includes weapons assistance to Ukraine,” Sanna Marin told reporters in Brussels as EU heads of state met to discuss further sanctions against Russia.

“We are not revealing the details so that we can ensure the delivery arrives safely in Ukraine,” Marin said, adding: “We have to be prepared to support Ukraine for as long as the war goes on.”

Four days after Russia invaded Ukraine, Finland broke with its long-held principle of not supplying arms to war zones and announced that it would send anti-tank weapons, assault rifles, and ammunition to Kyiv.

Several countries including Sweden, the UK and Germany have this week announced new shipments to Ukraine, following pleas by President Volodymyr Zelensky for the EU and NATO to increase its military assistance.

Russia’s invasion of Ukraine has set off alarm bells in Finland, which was part of the Russian empire for more than 100 years, fought two wars with Moscow over the last century, and shares a 1,340 km (830 mile) land border with Russia.

Finland was forced by the Kremlin into remaining outside any western defense cooperation during the Cold War, and since then has remained militarily non-aligned, although it joined the European Union in 1995.

But Russia’s assault on Ukraine has seen Finnish public support for joining NATO rise above 50 percent for the first time, according to a series of recent polls.

Russia anapigiwa miluzi mingi ili apoteane. Hajamaliza Ukraine mara Finland anaibuka, mara Sweeden.

Alafu ujue Finland na Sweeden zina uwezo sio kama Ukraine. Akijichanganya huko kachapwa maana ka ukraine tu kanamtoa jasho bado
 
Unapenda sana kuona damu zikimwagika?
 
Hujaona ukraine ilivyochakaa hata huyo atachakaa subiri kidogo tuna mambo mengi ya kufanya

Tumia muda wako kupitia ramani ya Ukraine, kuna eneo kubwa sana wanalala bila kusikia mlio wa risasi, Urusi kajaribu kuparamia ila Kiev pekee ilimshinda sasa ameanza kugeuza anasema amekamilisha alichotaka kufanya, ilhali amepoteza hadi basi.
 
Finland na Urusi wanachangia mpaka wenye urefu zaidi ya kilomita 1,300km
Urusi amejiingiza kwenye vita dhidi ya Ukraine akiwa na nia ya kuonyesha makucha yake kwa majirani wote, na kuwaonya wasijiunge NATO na wala wasimsaidie Ukraine, ila huyo Finland amekua akikiuka hiyo amri kwa kumsaidia Ukraine kwa kila namna, amekua akituma silaha nyingi huko ambazo zimetumika kuua maelfu ya wanajeshi wa Urusi na kuwatesa sana Warusi, je Urusi anasubiri nini kufanya kweli, maana huyo Finland halindwi na NATO, na sio Finland tu, majirani wengine kama Sweden pia wamekua wanatuma msaada wa silaha.

Ikumbukwe Finland wameanza mikakati ya kujiunga NATO, jameni Urusi achokozwe mpaka wapi ndio afanye chochote, kashikwa kidevu, kaguswa na kupapaswa kunako mle mle lakini bado anasema anasubiri achokozwe......
==========================

Finland will send another shipment of weapons to Ukraine, its prime minister said on Thursday, three weeks after the Nordic country broke with longstanding policy to deliver arms.

The shipment “includes weapons assistance to Ukraine,” Sanna Marin told reporters in Brussels as EU heads of state met to discuss further sanctions against Russia.

“We are not revealing the details so that we can ensure the delivery arrives safely in Ukraine,” Marin said, adding: “We have to be prepared to support Ukraine for as long as the war goes on.”

Four days after Russia invaded Ukraine, Finland broke with its long-held principle of not supplying arms to war zones and announced that it would send anti-tank weapons, assault rifles, and ammunition to Kyiv.

Several countries including Sweden, the UK and Germany have this week announced new shipments to Ukraine, following pleas by President Volodymyr Zelensky for the EU and NATO to increase its military assistance.

Russia’s invasion of Ukraine has set off alarm bells in Finland, which was part of the Russian empire for more than 100 years, fought two wars with Moscow over the last century, and shares a 1,340 km (830 mile) land border with Russia.

Finland was forced by the Kremlin into remaining outside any western defense cooperation during the Cold War, and since then has remained militarily non-aligned, although it joined the European Union in 1995.

But Russia’s assault on Ukraine has seen Finnish public support for joining NATO rise above 50 percent for the first time, according to a series of recent polls.

Kwani manyang'au wanasubiri nini kuivamia Somalia wakati huwa wanawachokonoa kila mahali!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Media za West zinaweka picha kama Ukraine ni mtakatifu anae hitaji msaada. Wabibi wa Kizungu hasa wale waliofiwa na waume zao wanaandaa spare rooms kwaajili ya kupokea wakimbizi kutoka Ukraine. Putin anafananishwa na Hitler.
mhhuu wabibi waliofiwa wanaandaa spare room wamasai wa Zanzibar Vita hii pia imewaathiri pakubwa
 
sina uhakika kama Putin anao uwezo wa kuzipiga na nchi tatu kwa wakati mmoja lakini pia sina uhakika kama NATO na shisti yao US kama wanao uwezo wa kutoa misaada kwa nchi zote zitakazokuwa vitani kwa wakati mmoja vs Urusi

namaanisha endapo Putin akizivamia Sweden na Finland wakati huu ambapo bado anatolewa jasho na akina Ukraine sidhani kama NATO watakuwa na uwezo wa kuzipatia msaada wa siraha nchi zote hizi
 
Hapo hata hapatakua na umuhimu wa NATO kusaidia kitu, yaani hata Warusi wenyewe wanaweza kumgeuka Putin maana atakua anawatuma wakauawe.
 
Russia anapigiwa miluzi mingi ili apoteane. Hajamaliza Ukraine mara Finland anaibuka, mara Sweeden.

Alafu ujue Finland na Sweeden zina uwezo sio kama Ukraine. Akijichanganya huko kachapwa maana ka ukraine tu kanamtoa jasho bado
Ukraine ndio nchi kubwa Ulaya yotee (Square Km)
Ukraine ndio nchi yenye high population ndani ya ulaya yotee (44 M)
Ukraine ndio nchi iliyowahi kumiliki silaha kali kuliko zotee duniani.
Ukraine ndio walikua wanamiliki kinu kikubwaa sanaa cha Nuclear

...ila WAMETUNGULIWA na WANATAPATAPA.

Sweden na Finland ni nani?

#YNWA
 
Media za West zinaweka picha kama Ukraine ni mtakatifu anae hitaji msaada. Wabibi wa Kizungu hasa wale waliofiwa na waume zao wanaandaa spare rooms kwaajili ya kupokea wakimbizi kutoka Ukraine. Putin anafananishwa na Hitler.
ww ni mburura mpk sasa unahitaji media ikuoneshe kuwa urusi kavamia ukraine na kuvamia nchi ni haramau ? akili yako inatatizo si bure
 
Back
Top Bottom