Hivi Urusi husubiri nini kuivamia jirani Finland ukizingatia kachokozwa na kuchokonolewa kwenye mapua na masikio

Hivi tunaposema putin kafeli..Tunamaanisha ukraine kavuka mipaka kaingia urus? Au anafumuliwa huko huko kwake?..Kashndwa hata kurusha bomu la mkono ndan ya urus? Me naona vita hii mrus hatak uharbifu na kuu maelfu ya raia la sivyo hyo ukraine ingeshafutwa yote kwa makombora mazito
 
Tulitegema Urusi aifumue Ukraine ndani ya masaa, maana Putin kasema ni special operation na ukizingatia miaka yote tulijua Urusi ni super power, sasa miezi imepita bado hamna kikubwa zaidi ya kulipua majengo na kuua raia na mwenyewe Urusi amepoteza hadi bonge la meli baba lao.
Ukraine hapo kataifa jirani, yaani hata Kiev imemshinda Urusi kuiteka.

Leo hii Liverpool akija kucheza na Kagera sugar, dakika ya tisini Kagera hajafungwa mabao 200, kafungwa mabao matatu tu kwa moja, na Liverpool amehema uwanja wote, amebadilisha wachezaji hadi basi lakini wapi, tutasema ushindi upo kwa Kagera maana kuhimili mapigo huo ni ushindi.

Huyo Urusi ndiye alikua tegemeo la waarabu dhidi ya Marekani, na ndio maana wote wa dini ile mnamshabikia sana Putin Bwana Utam
 
sina uhakika kama Putin anao uwezo wa kuzipiga na nchi tatu kwa wakati mmoja lakini pia sina uhakika kama NATO na shisti yao US kama wanao uwezo wa kutoa misaada kwa nchi zote zitakazokuwa vitani kwa wakati mmoja vs Urusi

namaanisha endapo Putin akizivamia Sweden na Finland wakati huu ambapo bado anatolewa jasho na akina Ukraine sidhani kama NATO watakuwa na uwezo wa kuzipatia msaada wa siraha nchi zote hizi
Nasidhanii kama hayo yamataifa yanaweza kuingia VITABI na RUSSIA ila acha tuone !!!!!
 
ufini kaonyesha nia ya kujiunga Nato ila na ameanza mipango ya mazungumzo kwa hatua tu alizofikia fini, URUSi kaonyesha ni reaction ikiwa ni pamoja na kupeleka mifumo ya kuzuiya mashambulizi kutoka huko kwenye nchi fini na mwenzake vivyo hivyo inawezekana kuna hatua urusi anazisubiri hizo nchi zitangaze zimeifikia kuhusu hili jambo basi nae atoe msimamo wake kwa vitendo
 
Ataingiza majeshi na kule kweli Putin karukwa na akili ama anatimiza unabii
 
ufini kaonyesha nia ya kujiunga Nato ila na ameanza mipango ya mazungumzo kwa hatua tu alizofikia fini, URUSi kaonyesha ni reaction ikiwa ni pamoja na kupeleka mifumo ya kuzuiya mashambulizi kutoka huko kwenye nchi fini na mwenzake vivyo hivyo inawezekana kuna hatua urusi anazisubiri hizo nchi zitangaze zimeifikia kuhusu hili jambo basi nae atoe msimamo wake kwa vitendo

Aha! Kwanza ujue mkataba ukitiwa saini kwamba Finland amejiunga NATO ndio basi, haguswi tena maana wababe wa NATO wamebanwa kimkataba, hivyo kama amekaa anasubiri Finland atangaze amejiunga basi atakua amechelewa, vitendo vyake atabaki akivifanyia nje huko.
 
Nyie kenya mbona mmeshindwa kuimaliza al shabab wakati hawafiki buku
Wale wanampigania Allah mkuu mbona hata Saudi kashindwa kuwamaliza wanamgambo wa Yemen wakati pesa,jeshi na support vyote yuko navyo
 
Ukraine hakuchokoza, yeye kakutwa kwake nyumbani, ila Finland anayoyafanya kapitiliza uchokozi......yaani Mrusi ni nguvu ya soda, hovyo sana.
Sababu zipi zimefanya Ukraine akutwe nyumbani kwake na Russia? Finland amefanya kipi ambacho Ukraine hajakifanya?
 
Ukraine ndio nchi kubwa Ulaya yotee (Square Km)
Ukraine ndio nchi yenye high population ndani ya ulaya yotee (44 M)
Ukraine ndio nchi iliyowahi kumiliki silaha kali kuliko zotee duniani.
Ukraine ndio walikua wanamiliki kinu kikubwaa sanaa cha Nuclear

...ila WAMETUNGULIWA na WANATAPATAPA.

Sweden na Finland ni nani?

#YNWA
Wewe umewahi kwenda shule kweli au hata kuhudhuria masomo katika ngazi yoyote, unafahamu ulicho andika lakini au umempigisha mtu imla. Poor you.
 
Mwaka 1939-1940 ni kitu gani kilifanyika kati ya hayo mataifa mawili. Mwenye kumbukumbu atukumbushe maanake waingereza wana msemo wao moja unaosema kwamba, History always repeats itself.
 
Ukraine ndio nchi kubwa Ulaya yotee (Square Km)
Ukraine ndio nchi yenye high population ndani ya ulaya yotee (44 M)
Ukraine ndio nchi iliyowahi kumiliki silaha kali kuliko zotee duniani.
Ukraine ndio walikua wanamiliki kinu kikubwaa sanaa cha Nuclear

...ila WAMETUNGULIWA na WANATAPATAPA.

Sweden na Finland ni nani?

#YNWA
Weka records sawa, baada ya mkataba na Urusi walikabidhi silaha zote za nuclear kwenda Urusi na hawakuendelea na uzalishaji wa silaha za nuclear.
 
ufini kaonyesha nia ya kujiunga Nato ila na ameanza mipango ya mazungumzo kwa hatua tu alizofikia fini, URUSi kaonyesha ni reaction ikiwa ni pamoja na kupeleka mifumo ya kuzuiya mashambulizi kutoka huko kwenye nchi fini na mwenzake vivyo hivyo inawezekana kuna hatua urusi anazisubiri hizo nchi zitangaze zimeifikia kuhusu hili jambo basi nae atoe msimamo wake kwa vitendo
Kwa sasa kashikwa pabaya, aliahidi wakifanya vile anadogeza karibu silaha za nuclear hana cha zaidi cha kufanya.
 
Back
Top Bottom