Hivi Urusi husubiri nini kuivamia jirani Finland ukizingatia kachokozwa na kuchokonolewa kwenye mapua na masikio

Hivi Urusi husubiri nini kuivamia jirani Finland ukizingatia kachokozwa na kuchokonolewa kwenye mapua na masikio

Tumia muda wako kupitia ramani ya Ukraine, kuna eneo kubwa sana wanalala bila kusikia mlio wa risasi, Urusi kajaribu kuparamia ila Kiev pekee ilimshinda sasa ameanza kugeuza anasema amekamilisha alichotaka kufanya, ilhali amepoteza hadi basi.
Kila siku Putin anabadili malengo kadri mambo yanavyomwendea mrama,alianza na denazification na kumwondoa Zelensiky madarakani, sasa hivi hata hakumbuki tena kama hilo ndilo lilikuwa lengo lake kuu
 
Nachojua mimi Mmarekani yupo tayari kuivamia kijeshi nchi yoyote ambayo inahatarisha maslahi yake binafsi.

Uko sahihi, sasa Urusi imehatarisha maslahi gani ya Marekani.
 
Back
Top Bottom