Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
Finland hajaichokoza Russia badoMchokozwe mpaka wapi ndio mfanye chochote.....
Hivi tunaposema putin kafeli..Tunamaanisha ukraine kavuka mipaka kaingia urus? Au anafumuliwa huko huko kwake?..Kashndwa hata kurusha bomu la mkono ndan ya urus? Me naona vita hii mrus hatak uharbifu na kuu maelfu ya raia la sivyo hyo ukraine ingeshafutwa yote kwa makombora mazito
Nasidhanii kama hayo yamataifa yanaweza kuingia VITABI na RUSSIA ila acha tuone !!!!!sina uhakika kama Putin anao uwezo wa kuzipiga na nchi tatu kwa wakati mmoja lakini pia sina uhakika kama NATO na shisti yao US kama wanao uwezo wa kutoa misaada kwa nchi zote zitakazokuwa vitani kwa wakati mmoja vs Urusi
namaanisha endapo Putin akizivamia Sweden na Finland wakati huu ambapo bado anatolewa jasho na akina Ukraine sidhani kama NATO watakuwa na uwezo wa kuzipatia msaada wa siraha nchi zote hizi
Nyie kenya mbona mmeshindwa kuimaliza al shabab wakati hawafiki bukuKapoteza usupapawa, mpaka sasa bado siamini hii ni Urusi niliyokua naiogopa hadi basi...
Ataingiza majeshi na kule kweli Putin karukwa na akili ama anatimiza unabiiufini kaonyesha nia ya kujiunga Nato ila na ameanza mipango ya mazungumzo kwa hatua tu alizofikia fini, URUSi kaonyesha ni reaction ikiwa ni pamoja na kupeleka mifumo ya kuzuiya mashambulizi kutoka huko kwenye nchi fini na mwenzake vivyo hivyo inawezekana kuna hatua urusi anazisubiri hizo nchi zitangaze zimeifikia kuhusu hili jambo basi nae atoe msimamo wake kwa vitendo
ufini kaonyesha nia ya kujiunga Nato ila na ameanza mipango ya mazungumzo kwa hatua tu alizofikia fini, URUSi kaonyesha ni reaction ikiwa ni pamoja na kupeleka mifumo ya kuzuiya mashambulizi kutoka huko kwenye nchi fini na mwenzake vivyo hivyo inawezekana kuna hatua urusi anazisubiri hizo nchi zitangaze zimeifikia kuhusu hili jambo basi nae atoe msimamo wake kwa vitendo
Wale wanampigania Allah mkuu mbona hata Saudi kashindwa kuwamaliza wanamgambo wa Yemen wakati pesa,jeshi na support vyote yuko navyoNyie kenya mbona mmeshindwa kuimaliza al shabab wakati hawafiki buku
Comedian amemshika pabaya mpaka Sasa haamini kinachomkuta.Mchokozwe mpaka wapi ndio mfanye chochote.....
Kwahiyo unamaanisha Ukraine anastahili anachokipata, sio?Amechokoza hadi hata kamshika makalio kabisa, fatilia haya mambo sheikh
Sababu zipi zimefanya Ukraine akutwe nyumbani kwake na Russia? Finland amefanya kipi ambacho Ukraine hajakifanya?Ukraine hakuchokoza, yeye kakutwa kwake nyumbani, ila Finland anayoyafanya kapitiliza uchokozi......yaani Mrusi ni nguvu ya soda, hovyo sana.
Wewe umewahi kwenda shule kweli au hata kuhudhuria masomo katika ngazi yoyote, unafahamu ulicho andika lakini au umempigisha mtu imla. Poor you.Ukraine ndio nchi kubwa Ulaya yotee (Square Km)
Ukraine ndio nchi yenye high population ndani ya ulaya yotee (44 M)
Ukraine ndio nchi iliyowahi kumiliki silaha kali kuliko zotee duniani.
Ukraine ndio walikua wanamiliki kinu kikubwaa sanaa cha Nuclear
...ila WAMETUNGULIWA na WANATAPATAPA.
Sweden na Finland ni nani?
#YNWA
Weka records sawa, baada ya mkataba na Urusi walikabidhi silaha zote za nuclear kwenda Urusi na hawakuendelea na uzalishaji wa silaha za nuclear.Ukraine ndio nchi kubwa Ulaya yotee (Square Km)
Ukraine ndio nchi yenye high population ndani ya ulaya yotee (44 M)
Ukraine ndio nchi iliyowahi kumiliki silaha kali kuliko zotee duniani.
Ukraine ndio walikua wanamiliki kinu kikubwaa sanaa cha Nuclear
...ila WAMETUNGULIWA na WANATAPATAPA.
Sweden na Finland ni nani?
#YNWA
Kwa sasa kashikwa pabaya, aliahidi wakifanya vile anadogeza karibu silaha za nuclear hana cha zaidi cha kufanya.ufini kaonyesha nia ya kujiunga Nato ila na ameanza mipango ya mazungumzo kwa hatua tu alizofikia fini, URUSi kaonyesha ni reaction ikiwa ni pamoja na kupeleka mifumo ya kuzuiya mashambulizi kutoka huko kwenye nchi fini na mwenzake vivyo hivyo inawezekana kuna hatua urusi anazisubiri hizo nchi zitangaze zimeifikia kuhusu hili jambo basi nae atoe msimamo wake kwa vitendo
Nachojua mimi Mmarekani yupo tayari kuivamia kijeshi nchi yoyote ambayo inahatarisha maslahi yake binafsi.Fuatilia taarifa na uwe msomaji pia....