Tumia muda wako kupitia ramani ya Ukraine, kuna eneo kubwa sana wanalala bila kusikia mlio wa risasi, Urusi kajaribu kuparamia ila Kiev pekee ilimshinda sasa ameanza kugeuza anasema amekamilisha alichotaka kufanya, ilhali amepoteza hadi basi.
Kila siku Putin anabadili malengo kadri mambo yanavyomwendea mrama,alianza na denazification na kumwondoa Zelensiky madarakani, sasa hivi hata hakumbuki tena kama hilo ndilo lilikuwa lengo lake kuu