Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenge alisema ni kusafiri 24hrs na kufanya biasharaKama sijakosea walimaanisha, ni kwa magari ambayo yalishaanza safari na Giza likawakuta njiani wanaruhusiwa kumalizia safari yao. Lakini sio kuanza safari usiku.
Mimi sikusema hivyo mkuu!!Kenge alisema ni kusafiri 24hrs na kufanya biashara
Alimaanisha unaweza toka mwanza saa moja usiku kwa mfano ukaenda dar kwa bus
hahahahahhaMimi sikusema hivyo mkuu!!
mkuu hii ni kweli kuna basi la kutoka dar saa kumi na mbili jioni kwenda dodomaYapo yanaondoka Dar swa 12 jioni