MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa.
Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo ni vita tu? Kuna mfumuko wa bei, tozo, msaidieni Mama. Hawa mawaziri ni wanasiasa tu, hamna kitu, empty kabisa!
Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo ni vita tu? Kuna mfumuko wa bei, tozo, msaidieni Mama. Hawa mawaziri ni wanasiasa tu, hamna kitu, empty kabisa!