ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wa mchongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
STL na tinted nyeusi landcruiserna vimifuko vyao wanavyobeba mtaani Kama wananunua vitu kumbe Wala
Usalama wa taifa wa Tanzania ni kwaajili ya kulinda serikali iliyopo madarakani na sio kwa ajili ya kulinda taifaNinavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa.
Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo ni vita tu? Kuna mfumuko wa bei, tozo, msaidieni Mama. Hawa mawaziri ni wanasiasa tu, hamna kitu, empty kabisa!
Acha kutisha watu wewe..akamatwe kwa kosa gani...hii nchi utaonekana adui endapo utatishia maslahi ya kijana..hapo ndio utaoka kazi ya usalama wa ccm.Usikute alieanzisha uzi ni usalama sema anapima upepo aone komenti za watu wanawafanyia usalama!.. watanzania nao sio wanafki wanaichamba idara si haba!.. ngojeni akamatwe mmoja akabinywe kende awe wa mfano ndo mtajua hamjui..[emoji23]
Wala hawajui bali unajua wewe mkuu.Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa.
Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo ni vita tu? Kuna mfumuko wa bei, tozo, msaidieni Mama. Hawa mawaziri ni wanasiasa tu, hamna kitu, empty kabisa!
Serikali ya awamu ya tatu walichokifanya ni kupeleka marekebisho ya sheria Bungeni kiwaondolea nguvu hawa jamaa.Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa.
Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo ni vita tu? Kuna mfumuko wa bei, tozo, msaidieni Mama. Hawa mawaziri ni wanasiasa tu, hamna kitu, empty kabisa!
Very good point, nionavyo wao wamekuwa makada wa chama chetu pendwa.Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa.
Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo ni vita tu? Kuna mfumuko wa bei, tozo, msaidieni Mama. Hawa mawaziri ni wanasiasa tu, hamna kitu, empty kabisa!
[emoji294][emoji294][emoji294][emoji294]Serikali ya awamu ya tatu walichokifanya ni kupeleka marekebisho ya sheria Bungeni kiwaondolea nguvu hawa jamaa.
Wanachoweza kufanya ni kuripoti tu na wanaochukua hatua ni polisi.
Hili lilifanyika siyo kwa bahati mbaya bali wahuni serikalini walishajua kuwa Usalama wa Taifa ndo kikwazo pekee kinachoweza kuzuia mafisafi wasineemeke.
Kinachofanyika sasa ni kuwaingiza kwenye mitaguso ya kisiasa huku ikiwajengea hoja ya ndani kuwa wapinzani ndo maadui halisi wa Tanzania wakati maadui wa nchi ndo hao hao wanaowalinda. Nasema maadui kwa sababu nyingi ya sera na mikakati ya viongozi inakinzana na utashi wa nchi. Wanaigenisha nchi, wanakwapua mali na kwenda kuficha fedha kwenye nchi za kigeni, wanazuia wakulima na wafanyabiashara wa ndani kuneemeka na sera za nchi badala yake viongozi na watumishi wa umma wana ukwasi wa kutisha kuliko hata wafanyabiashara wanaolipa kodi.
Hivyo, mimi naelewa kwa nini hawa jamaa hawana kauli wala hawawezi kuchukua hatua, ni kwa vile wanasiasa wanawatumia kwa malengo yao na si ya nchi. Maadui wetu wameikalia katiba na sheria wanazitumia kuwakandamiza wananchi wenye nchi
Inasemwa Mzalendo namba moja ni Rais, lakini kwa matendo tunaona mengi yanayotupa maswali kuhusu kauli hiyo.
Watu pekee wanaoweza kulaumiwa kwa haya yanayotokea na kukaa kimya ni sisi Wananchi. Wananchi wanajua ukweli lakini uoga na tamaa vinatuponza na tujilaumu kwa uzembe huu endelevu
Nakupa mfano hai.
Hii post yangu tayari inawaalika kuanza kunifuatilia ili mwenye switch akisema SUu! Mchezo unaisha yanatokea mawili, kupigwa kitu cha uhujumu au kuumaliza mwendo kwa kuilinda imani
KumbeAcha kutisha watu wewe..akamatwe kwa kosa gani...hii nchi utaonekana adui endapo utatishia maslahi ya kijana..hapo ndio utaoka kazi ya usalama wa ccm.
#MaendeleoHayanaChama