Hivi ushawahi kukosea kutuma Ujumbe wa simu? Mimi nilimtumia dada yangu kimakosa "Nimekumisi Baby nina hamu sana nawe"

Ilikua typing error, nilijibu meseji ya mama “ kum* kitu kizuri” af sikuona hilo kosa hadi baadae sana, na mama alikausha.
 
Back
Top Bottom