Hivi ushawahi kukutana na hii?

Inaonesha wewe ni "mfukunyuku" ila unaonekana mkimya.

Eee ila kuna namna unaweza kukwama kutoa msaada.
Kwa mfano kuna ndugu alikuwa anaumwa sikio but nilikuwa nasikia mafuta ya mbegu za bangi yanaponya, au majimaji ya mmea wa bangi pia yanaponya. But ndugu yangu ni wale walokole kindakindaki. Nikaona nikimwamwambia atajua nachoma, pia nitakuwa nadhihaki imani yake. Nikakausha lakini Mungu ni mwema alikuja kupata dawa akapona.
 
Nadhani wewe umeelewa inavyokua,. Yaani huwezi kusema
 
Kujua kitu wala sio kosa,
kujua kitu sio shida, wewe ni mtundu na unajua na kusikia vingi. Mimi nimekupenda wewe ni mdadisi. Sema Jamii kukuelewa ndio changamoto. Usiache kujua vitu vingi kutakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…