Hivi ushawai kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari yako katikati ya safari hebu tuambie ulitembea umbali gani kwa miguu

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari

Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje na ulikanyaga kutoka wapi mpaka wapi kwa miguu.
 
Nilishawah lala tabata relini kwa kukosa mafundi,cv joint ili burst, hela ipo maduka yamefungwa na mafundi wamelala.
Kikubwa nilichojifunza, si vizur kuendrsha gari bila kutembea na pesa mfukoni, au lah, bas make sure una access ya haraka ya kupata pesa kama huna cash mfukoni vinginevyo una aibika kweupee halaf raia hawanaga dogo utasikia "mmhh magari ya shemeji zao hayo, wanaendesha tu ila hawajui hata gharama za service, ona sasa yanawashinda njiani" 😂😂
 
Daah, hatari sana tajiri bora wewe ulilala kwenye gari😂😂
 
Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari

Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje na ulikanyaga kutoka wapi mpaka wapi kwa miguu.
Ajari❎
Ajali✅
Walishawai❎
Walishawahi✅
 
Shida yako ubishi na sifa mzee wa ajari

Ukielekezwa kubali achana na kukosoa mambo ambayo hayapo
Siyo ❌
Shida yako ni ubishi na sifa mzee wa ajari

Ukielekezwa kubali achana na kukosoa mambo ambayo hayapo

Ni hivi✅
Shida yako ni ubishi na sifa mzee wa ajari, Ukielekezwa kubali achana na kukosoa mambo ambayo hayapo.

Zingatia nukta na mkato pia usiache nafasi kwenye uandishi wako umenielewa?
 
Back
Top Bottom