Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Jamiiforum hakuna mtu anaepanda Usafiri wa umma, wote humu tunamiliki magari yetu binafsi.Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli
Jamiiforum hakuna mtu anaepanda Usafiri wa umma, wote humu tunamiliki magari yetu binafsi.
NADHANI UMENIELEWA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Na wewe ndo unajiita genius wakati ni boga tu tena la kiangazihajari,
walishawai
Kwahiyo unaniIbishaNa wewe ndo unajiita genius wakati ni boga tu tena la kiangazi
Daah, hatari sana tajiri bora wewe ulilala kwenye gari😂😂Nilishawah lala tabata relini kwa kukosa mafundi,cv joint ili burst, hela ipo maduka yamefungwa na mafundi wamelala.
Kikubwa nilichojifunza, si vizur kuendrsha gari bila kutembea na pesa mfukoni, au lah, bas make sure una access ya haraka ya kupata pesa kama huna cash mfukoni vinginevyo una aibika kweupee halaf raia hawanaga dogo utasikia "mmhh magari ya shemeji zao hayo, wanaendesha tu ila hawajui hata gharama za service, ona sasa yanawashinda njiani" 😂😂
sio ndio ni NDIYO.Kwahiyo unaniIbisha
Sio "ndo" ni "ndio"
Sawa tajiri huna baya tajiriJamiiforum hakuna mtu anaepanda Usafiri wa umma, wote humu tunamiliki magari yetu binafsi.
NADHANI UMENIELEWA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Siyo "sio" ni SIYOsio ndio ni NDIYO.
Na wewe ndo unajiita genius wakati ni boga tu tena la kiangazi
Kwahiyo unaniIbisha
Sio "ndo" ni "ndio"
sio ndio ni NDIYO.
Siyo "sio" ni SIYO
Mpaka hapa nimewafunga midomo, siunajua wabongo walivyo na midomo, hapo genius naongoza kwa 5-0
Mpaka hapa nimewafunga midomo, siunajua wabongo walivyo na midomo, hapo genius naongoza kwa 5-0
Siyo "ka-edit" ni "Edit"Umetisha sana Genius Man
Sema ukipata muda ka-edit tena pale juu
Umebadilisha kutoka HAJARI ukaja AJARI...lakini uhalisia ni AJALI
Ajari❎Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari
Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje na ulikanyaga kutoka wapi mpaka wapi kwa miguu.
Shida yako ubishi na sifa mzee wa ajariSiyo "ka-edit" ni "Edit"
Siyo genius ni GeniusMpaka hapa nimewafunga midomo, siunajua wabongo walivyo na midomo, hapo genius naongoza kwa 5-0
Siyo ❌Shida yako ubishi na sifa mzee wa ajari
Ukielekezwa kubali achana na kukosoa mambo ambayo hayapo