Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
- Thread starter
-
- #21
Huna hoja umebaki kulia tu, nanikasema nimepoteza nauli?Hasira za kupoteza nauli
Hatuweki erufi kubwa katika ya sentence. Kwahiyo hapo ni "" Siyo genius ni genius" ✅Siyo genius ni Genius
1, Ajari✅Ajari❎
Ajali✅
Walishawai❎
Walishawahi✅
Hatari sana hiiNakumbuka 2015 tulienda kisarawe sehemu panaitwa kazimzumbwi kufika kule tukaingia kwenye maubanda kula sana nyagi mixer nyeupe kuja kushtuka saa 7:30 usiku sasa tulikuwa na boda na boda ni mwanangu hao tukaaga ili tusepe tumesogea sogea kufika karibu na daraja flan hivi juu inapitaga treni ya tz &Zambia ebwanaaee bike ikapasuka tairi ya mbele ila Kwa kuwa tulikuwa maji sana Wala hatukuwaza taratibu tukaikokota mpaka kisarawe mjini na mapori Yale ya kisarawe ilikuwa hatari kinoma maana nasikiagaa kule Kuna hadi fisi watu 😎
Basi umepata hajariHuna hoja umebaki kulia tu, nanikasema nimepoteza nauli?
😂Na wewe ndo unajiita genius wakati ni boga tu tena la kiangazi
Aliyekwambia nimapata hajari nani?Basi umepata hajari
Hatari usiombe ikukute ,mimi nilitembea umbali wa kilomita kama 40 hivi ,nilikuwa na kama 13 au 14 yrs ila now kutembea 15 to 20 km ni kawaida part ya mazoezi.Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari
Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje na ulikanyaga kutoka wapi mpaka wapi kwa miguu.
Hahaha..Siyo "sio" ni SIYO
Genius Man aka boga la kiangaziAliyekwambia nimapata hajari nani?
Akili hunaGenius Man aka boga la kiangazi
Siyo "hahaha" ni "hehehe"Hahaha..
Posta mpaka mwengeKupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari
Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje na ulikanyaga kutoka wapi mpaka wapi kwa miguu.
Posta mpaka mwengi mbona karibu alafu unapita mjini mjini, vipi waliotoka mwanza mpaka dar kwa mguu😎Posta mpaka mwenge
Like your momAkili huna
Umeelewa maana ya Uzi uliouandika? Kuna mtu anataka Mwanza kwenda Dar Kwa sababu ulizoandika? Mpuuzi wewePosta mpaka mwengi mbona karibu alafu unapita mjini mjini, vipi waliotoka mwanza mpaka dar kwa mguu😎