Hivi usipokwenda jkt itakuwaje?

Hivi usipokwenda jkt itakuwaje?

nenda mkuu siunajua sikuhz police wanavunga vihelehele ,ukirudi mtaani ni kuheshimiana tu

Wangu huko chuoni si tutatoana manundu bure..maana kila mtu atajiona yeye ameshaiva..lazima niwe mpole la sivyo naweza kumaliza chuo cna meno..
 
ukienda jkt ustaarabu wako; hekima, busara uvumilivu ukomavu na akili (machale) vitaongezeka maradufu.
umimi utaisha mtakywa level moja.
 
Wangu huko chuoni si tutatoana manundu bure..maana kila mtu atajiona yeye ameshaiva..lazima niwe mpole la sivyo naweza kumaliza chuo cna meno..

Na usipapatikie madem ambao sio wako watu wametoka JKT utaumia
 
Na usipapatikie madem ambao sio wako watu wametoka JKT utaumia

Mafunzo ya miezi 3 hayawezi kukufanya ukawa bora inawezekana hata self defence msipige au mkapiga kidogo syllabus ya jeshi ni ndefu sana mda mchache.
 
Mafunzo ya miezi 3 hayawezi kukufanya ukawa bora inawezekana hata self defence msipige au mkapiga kidogo syllabus ya jeshi ni ndefu sana mda mchache.

kwani nn hasa kiini cha kutupeleka jkt?
 
Lengo la vijana kujiunga JKT lilikuwa zuri na still ni zuri seam usimamiaji wa zoezi husika ndio umekuwa mbovu kiasi cha kukuvunjeni moyo ambao bado hamjajienroll na mafunzo!

Moja ya vyombo vilivyoundwa na Serikali ya Tanganyika mara tu baada ya Taifa hili kupata uhuru ni Jeshi la Kujenga Taifa lililoasisiwa tarehe 10 Jul 1963. Jeshi la Kujenga Taifa kwa kifupi JKT, liliundwa ili kuponya majeraha yaliyoachwa na serikali ya kikoloni miongoni mwa jamii ya watanzania ambayo ni pamoja na
ubaguzi wa kidini, makabila, rangi na kipato. Chombo hiki ni muhimu katika kuelimisha na kuandaa vijana wa kitanzania kiuzalendo, kimaadili, kinidhamu na kuwafanya wawe raia wema wanaopenda kutumikia na kulinda nchi yao!

Kupitia JKT, vijana watalelewa vizuri katika malezi yaliyo bora wakiwa wenye:-

(1). Nidhamu
(2). Kujiamini
(3). Moyo wa uzalendo na kuipenda nchi yao
(4). Umoja na Udugu
(5). Moyo wa kupenda kazi
(6). Kutekeleza wajibu wao.


Dhima
Kuwalea vijana wa Tanzania ili wawe na nidhamu, uzalendo na ujuzi ambao utawawezesha kushiriki kikamilifu
katika Ulinzi, Usalama pamoja na Ujenzi wa Taifa...

Nakushauri ujiunge kijana,Tanzania ya kesho ii mikononi mwenu!
 
mm sina mpango wa kwenda huko..nataka nijue madhara yake ni yapi?

Kwa sasa ni mkakati wa kuwapeleka kwnza na baadae watakuja na mkakati mwingine wa kuwakomesha wale wote ambao walikuwa na sifa ila wakapuuzia hili zoezi. Inajulikana ni wangapi wameenda na wangapi wamepuuzia, kwa hiyo we jiandae.
 
Jkt + f6 haina maana kabisa zaidi ya kuramba matapishi enz za 1970s
 
Madogo mkienda jkt mkajifanya kiherehere mtaumia wenyewe kule kudoji ni somo ila ukikamatwa umekwisha mimi nilikuwa nadoji wiki nzima nikikamatwa napigwa nua na drill siku nzima, mkesha wiki 6 unakufanya mwehu lazima udoji.
 
Back
Top Bottom