flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
mm sina mpango wa kwenda huko..nataka nijue madhara yake ni yapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mm sina mpango wa kwenda huko..nataka nijue madhara yake ni yapi?
mm sina mpango wa kwenda huko..nataka nijue madhara yake ni yapi?
hutajua aina za bunduki shauri yako
nenda mkuu siunajua sikuhz police wanavunga vihelehele ,ukirudi mtaani ni kuheshimiana tu
nenda mkuu siunajua sikuhz police wanavunga vihelehele ,ukirudi mtaani ni kuheshimiana tu
Wangu huko chuoni si tutatoana manundu bure..maana kila mtu atajiona yeye ameshaiva..lazima niwe mpole la sivyo naweza kumaliza chuo cna meno..
ukienda jkt ustaarabu wako; hekima, busara uvumilivu ukomavu na akili (machale) vitaongezeka maradufu.
umimi utaisha mtakywa level moja.
Na usipapatikie madem ambao sio wako watu wametoka JKT utaumia
Mafunzo ya miezi 3 hayawezi kukufanya ukawa bora inawezekana hata self defence msipige au mkapiga kidogo syllabus ya jeshi ni ndefu sana mda mchache.
kwani nn hasa kiini cha kutupeleka jkt?
Na usipapatikie madem ambao sio wako watu wametoka JKT utaumia
watumiaji wa ARV wamepungua wanaogopa hasara coz zina expire tu store
kwel mkuu nimeipenda xnaNa usipapatikie madem ambao sio wako watu wametoka JKT utaumia
mm sina mpango wa kwenda huko..nataka nijue madhara yake ni yapi?
Sijakupata wangu...au huko jeshini watu wanapigana mikasi??