Ahsante kwa taarifa mkuu2007 nilimpoteza jamaa yangu kwa uzembe huu huu,mkewe yupo labor anajifungua yeye akajiiba kwenda kulala kwa malaya kumbe jamaa aliyempangia demu alikuwa na taarifa mara jamaa akavamia ghafla.
Kufupisha story tu nikwamba mshkaji alichomwa kisu akafa bila hata kumuona mwanae wa pekee huku mwanae akiishia kukua akiiona sura ya baba yake kwenye picha.
Haya mambo ni ya kuyaepuka sana siyo yakuyakaribia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mmmmh kwa hiyo inabid ulale nusu kaputi
Salama Wii!! Mzima wewe??my wifi hali yako?
msalimie sumbai
mie mzima nimewamisi pamoja na P wetu jamanSalama Wii!! Mzima wewe??
Zimefika wifi yangu
Wanaume wana roho ngumu mbele ya papuchi sana.
Hata Mimi geto la mwanaume siwezi kwenda labda tuwe wachumba tena wa kutambuana kwa wazazi.
Kisa cha kuja kunyolewa nywele na chupa ni nini?
P amekumiss sana aunt yake wa ukweli.mie mzima nimewamisi pamoja na P wetu jaman
Bk ndiyo nini?Kwanini unyolewe na chupa.??
wewe bila shaka ni B..k
utadumU
Bora unyolewe Nywele! Mwingine atakunyoa Mavazi!Wanaume wana roho ngumu mbele ya papuchi sana.
Hata Mimi geto la mwanaume siwezi kwenda labda tuwe wachumba tena wa kutambuana kwa wazazi.
Kisa cha kuja kunyolewa nywele na chupa ni nini?
Bk ndiyo nini?
Sio kifo ila "kifiro"Kulala fofofoo kwenye chumba/geto la
Demu watu wengine kifo wanajitakia!
Ila jamani mapenzi doh....MTU unajitoa ufahamu unavizia kuingia nyumbani kwa wazazi wa mpenzi wako na mnakoboana weeee mpk basi ....mweh hii kitu hiiWatu wanatimba mpk nyumbani kwa demu, baba yupo na mama yupo na papuchi inaliwa, sembuse gheto?
Jiamini tu siku hiyo hiyo ya kwanza nalalaaaa. Bora nifukunyue uvunguni kuhakiki hakuna kiatu au ndala kubwa zaidi ya namba 8. Chini ya hapo, atakayegonga namfungulia mimi