Hivi utaanzaje!!

Hivi utaanzaje!!

2007 nilimpoteza jamaa yangu kwa uzembe huu huu,mkewe yupo labor anajifungua yeye akajiiba kwenda kulala kwa malaya kumbe jamaa aliyempangia demu alikuwa na taarifa mara jamaa akavamia ghafla.

Kufupisha story tu nikwamba mshkaji alichomwa kisu akafa bila hata kumuona mwanae wa pekee huku mwanae akiishia kukua akiiona sura ya baba yake kwenye picha.

Haya mambo ni ya kuyaepuka sana siyo yakuyakaribia.
 
Ahsante kwa taarifa mkuu
 
Wanaume wana roho ngumu mbele ya papuchi sana.
Hata Mimi geto la mwanaume siwezi kwenda labda tuwe wachumba tena wa kutambuana kwa wazazi.
Kisa cha kuja kunyolewa nywele na chupa ni nini?

Kwanini unyolewe na chupa.??
wewe bila shaka ni B..k
utadumU
 
Wanaume wana roho ngumu mbele ya papuchi sana.
Hata Mimi geto la mwanaume siwezi kwenda labda tuwe wachumba tena wa kutambuana kwa wazazi.
Kisa cha kuja kunyolewa nywele na chupa ni nini?
Bora unyolewe Nywele! Mwingine atakunyoa Mavazi!
 
Daah! nimekumbuka mbaaaaali sana aseee!!

Cku moja nililala kwa demu mmoja hivi alfajir Bibi yake akaja kumuona kumsalimia mjukuu wake sijui yule bibi alikuwa kaoteshwa kwa ndoto?

Ilibidi niingie kwenye kabati la nguo dadadeki...!!!
 
Watu wanatimba mpk nyumbani kwa demu, baba yupo na mama yupo na papuchi inaliwa, sembuse gheto?
Ila jamani mapenzi doh....MTU unajitoa ufahamu unavizia kuingia nyumbani kwa wazazi wa mpenzi wako na mnakoboana weeee mpk basi ....mweh hii kitu hii
 
Jiamini tu siku hiyo hiyo ya kwanza nalalaaaa. Bora nifukunyue uvunguni kuhakiki hakuna kiatu au ndala kubwa zaidi ya namba 8. Chini ya hapo, atakayegonga namfungulia mimi

Umepita depo lakini mkuu au unajiamini tu.
 
P amekumiss sana aunt yake wa ukweli.
Karibu nyumbani uje umwone aunt yako anatumwa dukani sasa.
Tunakupenda sana.
Cc. sumbai
amina nawapenda zaidi....kwa kweli nimeona nguvu ya mama katika malezi yetu..Sumbai yuko vizuri kwa familia yake ndo maana mna raha namna hii.

Cc. sumbai
 
Back
Top Bottom