Hivi utadharau vipo watu wako milion 59 na zaidi unapeleka game kwa watu hawazidi milioni

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,128
Reaction score
2,452
Uongozi wa Yanga ujitafakari, na utafakari tena, mashindanyo makubwa kama haya unapeleka tanzania bara, huko zanzibar, unaacha watu mamilion washangiliaji hapa, mjitafakari, msipoangalia mtaweka ujinga wa uzanzibari na utanzania, au udini, hapa DSM watu wanatoka mikoa uanakuja hapa Dar es salaam, ila mmewanyima uhondo, ujinga wa kupeleka Yanga Aman utawacost, na mtajuta, kila siku yanga mashindano makubwa Zanzibar ila Timu lingi Timu ni ya tanzania bara, Haya yatawashinda, unadhani kunyima uhondo kwenda uwanjani watanzania bara haiwaumi? Jitafakarini, itaenda kwenye mambo mengine, yanga ni Tanzania bara sio zanzibar, yani hata uwanja hamjajaza huko zenji, punguzeni upuuzi
 
Maelekezo. Sahivi kila kitu kizuri kinapelekwa kizi. Hata huko zenji wanaojaza uwanja ni wapanda boti kutoka huku bara. Leo wabara wameenda kwa uchache uwanja wa watu elfu 30 haujajaa
 
Uongozi wa Yanga ujitafakari, na utafakari tena, mashindanyo makubwa kama haya unapeleka tanzania bara, huko zanzibar, unaacha watu mamilion washangiliaji hapa, mjitafakari, msipoangalia mtaweka ujinga wa uzanzibari na utanzania, au udini, hapa DSM watu wanatoka mikoa uanakuja hapa Dar es salaam, ila mmewanyima uhondo, ujinga wa kupeleka Yanga Aman utawacost, na mtajuta, kila siku yanga mashindano makubwa Zanzibar ila Timu lingi Timu ni ya tanzania bara, Haya yatawashinda, unadhani kunyima uhondo kwenda uwanjani watanzania bara haiwaumi? Jitafakarini, itaenda kwenye mambo mengine, yanga ni Tanzania bara sio zanzibar, yani hata uwanja hamjajaza huko zenji, punguzeni upuuzi
Walipo ichangia milioni mia sisiemu mliwasusia timu. Walipo kaa kimya kwenye tukio la Oct29 mkawasusia zaidi na kuwapopoa kwa kila aina ya maneno...
Wakaona isiwe taabu,wakavuka ng'ambo
 
Ni sababu za Kimkakati wa Afcon 2027.
Selikali imeipeleka yanga zanzibae kwa Kusudi maalum la Afcon.
 
Uongozi wa Yanga ujitafakari, na utafakari tena, mashindanyo makubwa kama haya unapeleka tanzania bara, huko zanzibar, unaacha watu mamilion washangiliaji hapa, mjitafakari, msipoangalia mtaweka ujinga wa uzanzibari na utanzania, au udini, hapa DSM watu wanatoka mikoa uanakuja hapa Dar es salaam, ila mmewanyima uhondo, ujinga wa kupeleka Yanga Aman utawacost, na mtajuta, kila siku yanga mashindano makubwa Zanzibar ila Timu lingi Timu ni ya tanzania bara, Haya yatawashinda, unadhani kunyima uhondo kwenda uwanjani watanzania bara haiwaumi? Jitafakarini, itaenda kwenye mambo mengine, yanga ni Tanzania bara sio zanzibar, yani hata uwanja hamjajaza huko zenji, punguzeni upuuzi
Hoja yako haizingatii weledi
 
Nasikia tena Dabi ya kariakoo inachezwa zenji, ni upuuzi mtupu
Yeah. Ndio maelekezo yaliyopo kumbuka chama kimeamua ikulu ya tunguu zenji ndio itumike so lazima timu ya chama nayo ihamie huko kwa mpaka itakapopewa maelekezo menginewe.
 
Viongozi wameamua Kuwa wapofu kabisa katika ili wanahisi kupeleka izo tournaments Zanzibar watamfurahisha Mkuu wa Nchi,

Wanasahau base fan kubwa Iko Bara apa

Haya yetu macho haya yakiisha wakaanza kujikomba Komba watakuwa wamebaki wenyewe huyu wanaemfurahisha ana Miaka minne tu kwenye Power
 
Walipo ichangia milioni mia sisiemu mliwasusia timu. Walipo kaa kimya kwenye tukio la Oct29 mkawasusia zaidi na kuwapopoa kwa kila aina ya maneno...
Wakaona isiwe taabu,wakavuka ng'ambo
Wavuke hata wapi tushawaweka kama kiporo tu maana walichukulia poa ishu ya oct 29 vilabu vikubwa kama hivo hawawajali mashabiki wao
 
Tulieni.. zamu yetu sasa hivi tukimaliza tutawarudishia muendelee kutunyonya Ila nasi itakua si haba tumepata kidogo
 
Mjue kwamba kule yupo mwanayanga asilia, mama karume, hivyo basi yanga kwenda huko wameenda kwa mnazi wao kindakindaki
 
Bora watu au marafik 10 wanaojielewa kuliko wanafiki 100. Jiulize kwanin ushindi wa asilimia 90 naa unapingwa
 
Back
Top Bottom