Hivi utajisikiaje mbunge umehamia CCM halafu unaenda kukataliwa na wanaccm kwenye kura za maoni? Angalizo: mtatukanwa sana na wapinzani wenu chamani!

Hivi utajisikiaje mbunge umehamia CCM halafu unaenda kukataliwa na wanaccm kwenye kura za maoni? Angalizo: mtatukanwa sana na wapinzani wenu chamani!

Mkuu G Sam, wahamiaji hawatapata taabu kwasababu CCM imebadili utaratibu, unaanza uteuzi kwanza wa majina matatu ndio yanakwenda kupigiwa kura.
Hivyo wale wanaotakiwa, watabebwa.
P
Ambapo yatakuja majina tusiyoyataka kisha wale waliokatwa watakua wana kisasi then usiku watakua ACT na mchana CCM kumbuka kilichotokea kwa akina Idd Azan mpk akatafutwa dakika za lala Salama lkn wapiiii
 
Kwenye hayo hayo majina matatu hawatapita kwa wapiga kura mkuu. Labda majina yote matatu yawe ya wahamiaji haramu jambo ambalo litaipasua pasua CCM kila kona.
Kitakachofanywa na vikao vya chama ni kumpitisha anayetakiwa na kumuwekea maboya mawili ya kumsindikiza ili kuonyeshea tuu demokrasia ya ndani ya chama.

Na kwa siasa za Bongo kwa sasa, Magufuli ni game changer, amezibadili siasa za nchi hii na kuifanya CCM ndio kila kitu, hivyo ukiishakatwa CCM this time, ndio basi tena, huna pa kukimbilia!, hivyo hata vigogo na vingunge wakikatwa, hawatakipasua chama.
P
 
Mkuu G Sam, wahamiaji hawatapata taabu kwasababu CCM imebadili utaratibu, unaanza uteuzi kwanza wa majina matatu ndio yanakwenda kupigiwa kura.
Hivyo wale wanaotakiwa, watabebwa.
P
Paschal, pamoja na utaratibu huo mnyukano ndani ya CCM ni mkubwa sana dhidi ya wahamiaji kama unafuatilia vizuri, hoja ya Sam bado ina mashiko sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitakachofanywa na vikao vya chama ni kumpitisha anayetakiwa na kumuwekea maboya mawili ya kumsindikiza ili kuonyeshea tuu demokrasia ya ndani ya chama.

Na kwa siasa za Bongo kwa sasa, Magufuli ni game changer, amezibadili siasa za nchi hii na kuifanya CCM ndio kila kitu, hivyo ukiishakatwa CCM this time, ndio basi tena, huna pa kukimbilia!, hivyo hata vigogo na vingunge wakikatwa, hawatakipasua chama.
P
Kuna kitu kila nikikusoma Pascal nashangaa hukioni pamoja na ukongwe wako. Magufuli ni game changer kweli hasa pale wengine wanapofungwa plasta mdomoni na kushushwa majukwaani.

Lakini hakika kampeni ya hiyo miezi 2 utashuhudia Magufuli akibomoka kama nguzo ya barafu unless time waingilie kampeni hizo kuokoa jahazi.

Hilo hats yeye na wanaccm wanalijua. Nimeona hata bungeni jinsi wanaccm walivyo wachovu kiasi kwamba wanafunikwa na hoja nzito za wachache mpaka wanaamua kuvuruga kwa kuchomekea chomekea "taarifa na miongozo" kwa msaada was spika.

Magufuli sio kama JK mwenye kujibu hoja kwa hoja, yeye anaamini katika umwamba sasa jukwaani atafeli maana hapo ni mgombea na sio Rais.

You wait and see, Nina mashaka sana ccm inaweza kuanza kutumia grean guard kuvuruga mikutano ya wapinzani. Wapinzani wajipange kwenye hilo hats ikibidi "kuwalaza" watakao jaribu kufanya hivyo sio mbaya
 
Hakuna shida!

Najua mnaumia roho sana enyi wafuasi wa mwamba tuvushe.

Hawa watatumika kuanika uozo uliomo chadema maana wametoka humo ghafla sana kabla hamjajiandaa kuwatenga.

Hivyo sio lazima wapewe ubunge, kuna teuzi nyingi sana za kitaaluma na kisiasa pia, so kila mmoja atawekwa anapo fit.

Tunaingia kwenye mechi kwanza,point zikishapatikana ndio tunajipanga kazi kwenu na konyagi.
Uozo....hahaha....acha ndoto we kibwengu na hao viwavi...hivi kuna mtu anajua siri za cdm kama ilivyokua kwa dk slaaa
 
Chakula kingi kwa baba, wakikosa ubunge kuna nafasi nyingi tu za uteuzi.
 
Wewe badala ya kurudi kwenu ukavune kahawa unashinda lumumba kuuza kashata na umbea
Hakuna shida!

Najua mnaumia roho sana enyi wafuasi wa mwamba tuvushe.

Hawa watatumika kuanika uozo uliomo chadema maana wametoka humo ghafla sana kabla hamjajiandaa kuwatenga.

Hivyo sio lazima wapewe ubunge, kuna teuzi nyingi sana za kitaaluma na kisiasa pia, so kila mmoja atawekwa anapo fit.

Tunaingia kwenye mechi kwanza,point zikishapatikana ndio tunajipanga kazi kwenu na konyagi.
 
Mkuu hivi unajua kuwa tangia uwe mwanaccm wa JF hujawahi kuja na hoja yenye mashiko? Hujisikii aibu kuwa miongoni mwa member humu huku ukitafuta hoja uliyowahi kuwa nayo huipati?
Hao ndiyo aliyo wataja leo Gambo kuwa uvccm wengi wao ni wafitina na wakizeeka watakuwa wachawi
 
Hawana lolote
Kuna mtu anayejua uozo wa Chadema kuliko Slaa? Mbona hakuweza kuutoa mwaka 2015 hadi ukubalike kwa watanzania achilia mbali kupewa airtime ya masaa mawili ndani ya radio na TV zote nchini akiizungumzia Chadema pale Serena hotel?

Unategemea Lijualikali aje au Silinde aje na lipi la ziada?
 
Hivi ni mhamiaji haramu au ukabila ndiyo utakao kubeba?
Mkuu G Sam, wahamiaji hawatapata taabu kwasababu CCM imebadili utaratibu, unaanza uteuzi kwanza wa majina matatu ndio yanakwenda kupigiwa kura.
Hivyo wale wanaotakiwa, watabebwa.
P
 
Back
Top Bottom