Ambapo yatakuja majina tusiyoyataka kisha wale waliokatwa watakua wana kisasi then usiku watakua ACT na mchana CCM kumbuka kilichotokea kwa akina Idd Azan mpk akatafutwa dakika za lala Salama lkn wapiiiiMkuu G Sam, wahamiaji hawatapata taabu kwasababu CCM imebadili utaratibu, unaanza uteuzi kwanza wa majina matatu ndio yanakwenda kupigiwa kura.
Hivyo wale wanaotakiwa, watabebwa.
P
Kitakachofanywa na vikao vya chama ni kumpitisha anayetakiwa na kumuwekea maboya mawili ya kumsindikiza ili kuonyeshea tuu demokrasia ya ndani ya chama.Kwenye hayo hayo majina matatu hawatapita kwa wapiga kura mkuu. Labda majina yote matatu yawe ya wahamiaji haramu jambo ambalo litaipasua pasua CCM kila kona.
Paschal, pamoja na utaratibu huo mnyukano ndani ya CCM ni mkubwa sana dhidi ya wahamiaji kama unafuatilia vizuri, hoja ya Sam bado ina mashiko sana.Mkuu G Sam, wahamiaji hawatapata taabu kwasababu CCM imebadili utaratibu, unaanza uteuzi kwanza wa majina matatu ndio yanakwenda kupigiwa kura.
Hivyo wale wanaotakiwa, watabebwa.
P
Na zaidi ya ubunge nafasi zipo nyingi tu za uteuziMkuu G Sam, wahamiaji hawatapata taabu kwasababu CCM imebadili utaratibu, unaanza uteuzi kwanza wa majina matatu ndio yanakwenda kupigiwa kura.
Hivyo wale wanaotakiwa, watabebwa.
P
Kuna kitu kila nikikusoma Pascal nashangaa hukioni pamoja na ukongwe wako. Magufuli ni game changer kweli hasa pale wengine wanapofungwa plasta mdomoni na kushushwa majukwaani.Kitakachofanywa na vikao vya chama ni kumpitisha anayetakiwa na kumuwekea maboya mawili ya kumsindikiza ili kuonyeshea tuu demokrasia ya ndani ya chama.
Na kwa siasa za Bongo kwa sasa, Magufuli ni game changer, amezibadili siasa za nchi hii na kuifanya CCM ndio kila kitu, hivyo ukiishakatwa CCM this time, ndio basi tena, huna pa kukimbilia!, hivyo hata vigogo na vingunge wakikatwa, hawatakipasua chama.
P
Sasa mkuu wewe ukijiangalia (uwezo wako wa kufikiri)unadhani unaweza kuwa chama gani tofauti na ccm?Hiyo kadi ya ccm ulinipa wewe?
Kuna chama cha madereva, bodaboda n.k.Sasa mkuu wewe ukijiangalia (uwezo wako wa kufikiri)unadhani unaweza kuwa chama gani tofauti na ccm?
Uozo....hahaha....acha ndoto we kibwengu na hao viwavi...hivi kuna mtu anajua siri za cdm kama ilivyokua kwa dk slaaaHakuna shida!
Najua mnaumia roho sana enyi wafuasi wa mwamba tuvushe.
Hawa watatumika kuanika uozo uliomo chadema maana wametoka humo ghafla sana kabla hamjajiandaa kuwatenga.
Hivyo sio lazima wapewe ubunge, kuna teuzi nyingi sana za kitaaluma na kisiasa pia, so kila mmoja atawekwa anapo fit.
Tunaingia kwenye mechi kwanza,point zikishapatikana ndio tunajipanga kazi kwenu na konyagi.
Sipati picha Lijualikali akikataliwa ile sura itakuwaje!Hakika umenena mkuu...watajikuta hawamo ndani na nje hawatakiwi kuonekana...malipo ni hapa hapa duniani
Moja huyu hapa kajitokeza [emoji23]
Hakuna shida!
Najua mnaumia roho sana enyi wafuasi wa mwamba tuvushe.
Hawa watatumika kuanika uozo uliomo chadema maana wametoka humo ghafla sana kabla hamjajiandaa kuwatenga.
Hivyo sio lazima wapewe ubunge, kuna teuzi nyingi sana za kitaaluma na kisiasa pia, so kila mmoja atawekwa anapo fit.
Tunaingia kwenye mechi kwanza,point zikishapatikana ndio tunajipanga kazi kwenu na konyagi.
Atafute bwana aolewe tu hana namna nyingine.Sipati picha Lijualikali akikataliwa ile sura itakuwaje!
Hao ndiyo aliyo wataja leo Gambo kuwa uvccm wengi wao ni wafitina na wakizeeka watakuwa wachawiMkuu hivi unajua kuwa tangia uwe mwanaccm wa JF hujawahi kuja na hoja yenye mashiko? Hujisikii aibu kuwa miongoni mwa member humu huku ukitafuta hoja uliyowahi kuwa nayo huipati?
Acheni kujifariji mtandaoni ndo washahama hivyo.. Na ni muendelezo!
Hiyo kadi ya ccm ulinipa wewe?
Kuna mtu anayejua uozo wa Chadema kuliko Slaa? Mbona hakuweza kuutoa mwaka 2015 hadi ukubalike kwa watanzania achilia mbali kupewa airtime ya masaa mawili ndani ya radio na TV zote nchini akiizungumzia Chadema pale Serena hotel?
Unategemea Lijualikali aje au Silinde aje na lipi la ziada?
Mkuu G Sam, wahamiaji hawatapata taabu kwasababu CCM imebadili utaratibu, unaanza uteuzi kwanza wa majina matatu ndio yanakwenda kupigiwa kura.
Hivyo wale wanaotakiwa, watabebwa.
P