UmemalizaHakuna shida!
Najua mnaumia roho sana enyi wafuasi wa mwamba tuvushe.
Hawa watatumika kuanika uozo uliomo chadema maana wametoka humo ghafla sana kabla hamjajiandaa kuwatenga.
Hivyo sio lazima wapewe ubunge, kuna teuzi nyingi sana za kitaaluma na kisiasa pia, so kila mmoja atawekwa anapo fit.
Tunaingia kwenye mechi kwanza,point zikishapatikana ndio tunajipanga kazi kwenu na konyagi.
Huyo anajielewa sio nyumbu kama weweWewe ni liccm lipi?
Basi umeanza kujifunza kinge juzi unaanza kusumbua!Insane
Basi umeanza kujifunza kinge juzi unaanza kusumbua!
Kuna wana CCM wangapi wanaosubili hizo teuzi?..Hakuna shida!
Najua mnaumia roho sana enyi wafuasi wa mwamba tuvushe.
Hawa watatumika kuanika uozo uliomo chadema maana wametoka humo ghafla sana kabla hamjajiandaa kuwatenga.
Hivyo sio lazima wapewe ubunge, kuna teuzi nyingi sana za kitaaluma na kisiasa pia, so kila mmoja atawekwa anapo fit.
Tunaingia kwenye mechi kwanza,point zikishapatikana ndio tunajipanga kazi kwenu na konyagi.
Silinde ubunge ndo basi tena...hawezi kuupata hata kwnnWao wanafikiri wakina Polepole na Magu ni wajinga wakati wamewahadaa kuwapa vyeo ili kuwavuta. Subiri uone hapo Momba kama huyu dogo atapata ubunge. Si mwezi wa 10 tuu hapo.
Anafikiri bashasha za Ndugai zile ni za kumpenda sana.
Mbunge umehamia CCM tena unawatukana waliokupa ridhaa ya chama kugombea. Unatukana sana huku unajisahau kuwa unaenda kugombea ubunge kwa tiketi ya chama ambacho umehamia juzi. Chama ambacho unaenda kukutana na magwiji ha propaganda chafu yaliyojipanga tangia 2016.
Nawaambieni mtapata tabu sana. Kwanza mtatukanwa matusi haya haya mnayotukana sasa! Mtachambwa na mwisho hamtapita hata mmoja wenu kwenye kura za maoni.
Mnajisahau sana, mnapata kiburi sana ila muda utaongea. Nyie ni mazuzu yasiyoona mbele na kwa hakika mtakuja kujikuta mnamlalamikia tena huyu huyu anayewaita kwake ila kwa wakati huo hakuna wa kuwasikilizeni maana kila mtu atakuwa anapambana na hali yake. Kwa sasa nyie jitoeni ufahamu vya kutosha kabisa!
Na ikiwa kamati kuu itajifanya ubabe na kuwapa ugombea kinguvu basi yatakayofuatia yatafurahisha sana.
Nimwambie tu Rais Magufuli kuwa anachokijenga sasa na kwa miaka minne iliyopita ndicho atakachokiona kwenye uchaguzi mkuu na kuanzia mwaka 2021. Hapo ndipo atajua kuwa kumbe ubabe si kitu chochote mbele ya siasa! Tukutane ulingoni palipojaa umamluki, fitina, uchawi, uuwaji na kila aina ya takataka linalojulikana.
Ulingoni si mbali kutoka sasa.
Utabirj umekamilika! Tusubiri huo muujiza!Mkuu G Sam, wahamiaji hawatapata taabu kwasababu CCM imebadili utaratibu, unaanza uteuzi kwanza wa majina matatu ndio yanakwenda kupigiwa kura.
Hivyo wale wanaotakiwa, watabebwa.
P
Acha muda uongee....
Ongeza sauti kidogoooHakuna shida!