Hivi uvunguni mwa meli, boat au pantoni kukoje?

Woii sasa hayo mapanga yanavyozunguka hayafyonzi maji kuingiandani maana najua lazma kutakuwa na bering je kuna nini hapo kinazuia maji yasiingie
 
Kidogo nimemuelewa lakini bado napata shida kidogo kwenye uzungukaji wa hayo mapanga yakizunguka
@"Ushimen, Unaona sasa tunaelimika. Nina hakika waliomdhihaki wa stand hapo juu nao hawakuwa wanayajua haya uliyoyaeleza
 
Kuna jinsia moja ina kiungo cha ajabu sana
Ikisimama hii jinsia kiungo unakiona kwa mbele
Ikichuchumaa hii jinsia kiungo unakiona kwa chini
Ikiinama hii jinsia kiungo unakiona kwa nyuma...
Nimetafakari uvungu wa meli
 
Lakini bado napata shida kama kuna chumba kati bati la chini na bati la juu katikati ndo mapanga yaliko sasa hayo mapanga yanatandikaje maji ndo meli iendee au hiyo vibretion alosema inatokea ina maana meli inaendeshwa na vibretion?
@"Ushimen, Ahsante kwa maarifa
 
Kweli mkuu mi sio kwamba sijui meli au boat au pamton naviju sana na nishapanda saana tuu kutokaka na kazi zangu ila nauliza kwa kuwa nilijaribu kuchungulia sikuona ndo maana nimeuliza humu kwa faida ya wengine ambao nao walikuwa hawajui
Wanasoma kimya kimya, si kila kitu ni cha kufanyia mzaha
 
@="Ushimen,Kati ya users wote wa jamii forums, 75% tu wangekuwa wana comment na kutu elimisha kama wewe jf ingeeendelea mbele sana.

Big brother.
Kwa kweli nimepata kitu angalau
 
Asante bro kwa elimu, humu jf kuna wapuuzi kama hao waliotangulia ku comment hapo juu ni shidaaaaaa.
 
Haaaa haya bhana mtani nimekuelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna jinsia moja ina kiungo cha ajabu sana
Ikisimama hii jinsia kiungo unakiona kwa mbele
Ikichuchumaa hii jinsia kiungo unakiona kwa chini
Ikiinama hii jinsia kiungo unakiona kwa nyuma...
Nimetafakari uvungu wa meli
 
Pako kama ungo au sufuria au beseni sema pamechongoka ki namna fulani
 
Nilishasemaga kuliko mtu a coment ili aonekane nae yuko on line au yuko jf bora mtu upite kimya kimya maana unaweza ukajivunjia heshma bila sababu kwa ku coment pumba
Asante bro kwa elimu, humu jf kuna wapuuzi kama hao waliotangulia ku comment hapo juu ni shidaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…