Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Nifafanulie hebuKutoka 20:16
Mithali 12:22
Wakolosai 3:9-10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifafanulie hebuKutoka 20:16
Mithali 12:22
Wakolosai 3:9-10
Namaanisha....Nifafanulie hebu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namaanisha....
Kama ulishindwa kuja, afadhali ungerudisha ile 7800 [emoji28][emoji28]
Ebu ngoja nikupe mfano:-
Meli yenye uwezo wa kubeba 40 feets containers 11,000 inapaswa iwe na ingine yenye Horsepower zisizo punguwa 109,000 Na engine hiyo ya kutumia Diesel ni 14 cylinder turbocharged yenye 2 stroke na uzito wa 2,100 metric tons.
Hapo unaweza ukapata taswira ama picha ya nini ninacho kumaanisha.
Mkuu wa stendi[emoji115]Kweli mkuu mi sio kwamba sijui meli au boat au pamton naviju sana na nishapanda saana tuu kutokaka na kazi zangu ila nauliza kwa kuwa nilijaribu kuchungulia sikuona ndo maana nimeuliza humu kwa faida ya wengine ambao nao walikuwa hawajui
Ohhooooo.....Kuna pepo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Aisee ukitoka Stand njoo huku kuna kazi ya kufanya
Hilo ndilo jibu sahihi mkuu, na kama ikitokea imeenda ama kusogea... Basi itakuwa imeshukumwa na upepoKwa hiyo fan isiooenda meli ndo inabaki inaelea tuu haiendi au