Hivi uvunguni mwa meli, boat au pantoni kukoje?

Hivi uvunguni mwa meli, boat au pantoni kukoje?

My god[emoji134] piston 14?sipati picha pigo moja litakuwa na nguvu gani
Ebu ngoja nikupe mfano:-
Meli yenye uwezo wa kubeba 40 feets containers 11,000 inapaswa iwe na ingine yenye Horsepower zisizo punguwa 109,000 Na engine hiyo ya kutumia Diesel ni 14 cylinder turbocharged yenye 2 stroke na uzito wa 2,100 metric tons.

Hapo unaweza ukapata taswira ama picha ya nini ninacho kumaanisha.
 
Kweli mkuu mi sio kwamba sijui meli au boat au pamton naviju sana na nishapanda saana tuu kutokaka na kazi zangu ila nauliza kwa kuwa nilijaribu kuchungulia sikuona ndo maana nimeuliza humu kwa faida ya wengine ambao nao walikuwa hawajui
Mkuu wa stendi[emoji115]
FB_IMG_1572469836413.jpeg
FB_IMG_1572469927292.jpeg
FB_IMG_1572469793281.jpeg
FB_IMG_1572469775435.jpeg
 
Back
Top Bottom