Hivi uvunguni mwa meli, boat au pantoni kukoje?

Hivi uvunguni mwa meli, boat au pantoni kukoje?

Asante sana kwenye propeler mbele kuna mapanga kama ya ya ciling fan au propeler inazunguka kama ile gari
A propeller is a type of fan that transmits power by converting rotational motion into thrust. A pressure difference is produced between the forward and rear surfaces of the airfoil-shaped blades, and a fluid (such as air or water) is accelerated by the pressure difference. Propeller dynamics, like those of aircraft wings, can be modelled by Bernoulli's principle and Newton's third law. Most marine propellers are screw propellers with helical blades rotating around an approximately horizontal axis or propeller shaft.

Ship-propeller.jpg

imges.jpg

INJINI ZA MELI, BOTI HUKAA CHINI NYUMA YA CHOMBO

UKUBWA NA IDADI HUTEGEMEA NA UKUBWA WA CHOMBO

HATA MANOWARI KUENDESHWA NA INJINI KAMA HII HAPA CHINI

images.jpg
images.jpg
 
Woii sasa hayo mapanga yanavyozunguka hayafyonzi maji kuingiandani maana najua lazma kutakuwa na bering je kuna nini hapo kinazuia maji yasiingie
Mkuu... ili kuto ruhusu maji yasipite kwenye shaft, kuna kitu tunakitumia ili kudhibiti hayo maji yenye nguvu "inaitwa Tube seal".
Tube seal hufungwa ikiambatana na dead end shaft bearing ili ipate pakushika.

Ama kwa mfano rahisi ni tazama flight water pumps zinavyo fanya kazi, pindi tu zinapo dumbukizwa kwenye kisima.... Ule mfumo ama aina ya seal ambayo huzuwia maji yasifike kwenye moto, basi mechanism hufanana na shaft seal za chombo cha majini.
images-5.jpeg
 
Kidogo nimemuelewa lakini bado napata shida kidogo kwenye uzungukaji wa hayo mapanga yakizunguka
Uskwame mkuu, hapo nimeambatanisha picha yenye panga boi hilo lenye rangu ya gold na flap kwaajiki ya kukatia kona "hicho kipande cha plate baada ya propeller
images-2.jpeg
 
Lakini bado napata shida kama kuna chumba kati bati la chini na bati la juu katikati ndo mapanga yaliko sasa hayo mapanga yanatandikaje maji ndo meli iendee au hiyo vibretion alosema inatokea ina maana meli inaendeshwa na vibretion?
Mkuu mechanism ya kufanya mpaka engine ya meli inafanya kazi ni hii hapo kwa kifupi yani kwa mujibu wa @ ushimen.

"Engine huzungusha shaft ambazo zimeunganishwa kwa kutumia couplings ili ku protect vibrations from one to another component. Hivyo basi shaft imeunganishwa na Propeller ama mapanga boi ambazo zinakuwa ndani ya maji kwa upande wa nyuma kwenye mataki ya meli, na pangaboi hizo zinapo zunguka ndipo hufanya meli husogea"

Na hivyo unavyoita vyumba kati ya bati la chini na la juu [emoji23], kitaalamu tunaita "Double bottoms" sasa double bottoms ni feature ya meli nyingi kubwa sikuhizi iwe meli ya tanker, bulk carrier, container, general cargo, Ro-Ro and etc.
Hii double bottom inakua ni water tight compartment, kazi yake kubwa ni kuzuia "flooding" yani kuzuia maji yasijae melini kwamba hata outer hull/bati la nje la meli likichunika/likitoboka na maji yakaingia basi meli haitozama kwani bado kuna inner hull/ bati la ndani.
 
Lakini bado napata shida kama kuna chumba kati bati la chini na bati la juu katikati ndo mapanga yaliko sasa hayo mapanga yanatandikaje maji ndo meli iendee au hiyo vibretion alosema inatokea ina maana meli inaendeshwa na vibretion?

1. Mkuu, boya hutengenezwa kwa kuweka chumba kisicho ingiza hewa kati ya sakafu ya chini inayo kalia maji na nyingine ya juu yake, na hii ndio hufanya chombo kisizame.

2. Panga boy hukaa nyuma matakoni mwa chombo nje ya body. Na sio chini uvunguni mwa chombo.

3. Vibration hutokea kwenye engine na kwasababu ni high speed engine, basi ile propeller huunganishwa kwa kutumia couplings ambazo zita absorb vibrations kutoka kwenye Engine na kwenda kwenye shaft na Propeller ambayo ikiachwa hiyo vibration iendelee inaweza kuleta madhara makubwa kama kuvunjika ama kutanua njia ya shaft na kuitowa kwenye mzunguko wake kwa shaft guides.
Kwakifupi, vibrations zisipo dhibitiwa zinaweza sababisha maafa makubwa sana kwenye chombo/engine.
 
Shukrani kama ume elewa hata kidogo mkuu, maana hizi vitu huwa kidogo ni ngumu kuzielezea kwa kibantu hadi mtu mwingine aelewe aiseeeee...
Hapa jasho tayari linantoka wallah
Asante bro kwa elimu, humu jf kuna wapuuzi kama hao waliotangulia ku comment hapo juu ni shidaaaaaa.
 
Shukrani kama ume elewa hata kidogo mkuu, maana hizi vitu huwa kidogo ni ngumu kuzielezea kwa kibantu hadi mtu mwingine aelewe aiseeeee...
Hapa jasho tayari linantoka wallah
hii ndio mechanical sasa
nimesoma mechanical miaka mitatu ila cjawahi kufikiri chini ya meli huwa wanadesgn vp
kwel unaweza kusema ww n mechanical engineer lakn ujui chochote
 
Eheèeee... sasa ndo hapo nashindwa kuelewa hiyo engine ninayosikia ikinguruma huwa inazungusha kitu gani mle chini ili chonbo kiende
Pako kama ungo au sufuria au beseni sema pamechongoka ki namna fulani
 
Mkuu... ili kuto ruhusu maji yasipite kwenye shaft, kuna kitu tunakitumia ili kudhibiti hayo maji yenye nguvu "inaitwa Tube seal".
Tube seal hufungwa ikiambatana na dead end shaft bearing ili ipate pakushika.

Ama kwa mfano rahisi ni tazama flight water pumps zinavyo fanya kazi, pindi tu zinapo dumbukizwa kwenye kisima.... Ule mfumo ama aina ya seal ambayo huzuwia maji yasifike kwenye moto, basi mechanism hufanana na shaft seal za chombo cha majini.
View attachment 1249062
Asante sana tena mno nimekupata barikiwa
 
Don Vito, ]Daaa.. nimpata somo nzuri sana yaani nilikuwa naumizaga kichwa sana najiuliza sasa kitu mvunguni kinaonekana kana mvungu wa sufuria alafu kinaenda sasa kinaendaje kumbe pana sayanisi kubwa sana...shikamooni wazungu
 
Aiseee kumbe inamaana engine itakuwa na hp kubwa sana na rotation yake itakuwa kubwa sana inamaana..@Ushimen,
 
Pole sana mkubwa hii elimu sio wote wenye tunayo sisi tushazoea kupanda na kuchezea tuu hatujui makitu yaliyoko ndani[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Shukrani kama ume elewa hata kidogo mkuu, maana hizi vitu huwa kidogo ni ngumu kuzielezea kwa kibantu hadi mtu mwingine aelewe aiseeeee...
Hapa jasho tayari linantoka wallah
 
Umeonaeee[emoji1][emoji1]
hii ndio mechanical sasa
nimesoma mechanical miaka mitatu ila cjawahi kufikiri chini ya meli huwa wanadesgn vp
kwel unaweza kusema ww n mechanical engineer lakn ujui chochote
 
Aiseee kumbe inamaana engine itakuwa na hp kubwa sana na rotation yake itakuwa kubwa sana inamaana..
Ebu ngoja nikupe mfano:-
Meli yenye uwezo wa kubeba 40 feets containers 11,000 inapaswa iwe na ingine yenye Horsepower zisizo punguwa 109,000 Na engine hiyo ya kutumia Diesel ni 14 cylinder turbocharged yenye 2 stroke na uzito wa 2,100 metric tons.

Hapo unaweza ukapata taswira ama picha ya nini ninacho kumaanisha.
 
Back
Top Bottom