Hivi uwepo wa maafisa wa Ikulu wenye asili ya Rwanda na Burundi si tatizo kwa usalama?

Hivi uwepo wa maafisa wa Ikulu wenye asili ya Rwanda na Burundi si tatizo kwa usalama?

Hii chi tukiendelea namna hii tutapigana mapanga sasa hvi, hizi nyie vijana wa CHADEMA mnasimama kabisa na kutangaza ubaguzi wa aina hii, ina maana mtu kama anatoka kigoma, kagera au katavi hasitahili kufanya kazi ikulu kisa anatokea mpakani? Samahani kwa kutumia lgha kali lakini tunaelekea kubaya, mwanzisha mada angalia nafasi yako kwenye CHADEMA na heshimu umoja wa watanzania vinginevyo nitaanza kuamini kuwa CHADEMA ni wakabila maana nikikuona ww naona mwongozo wa CHADEMA nategemea uweze kusimamia vitu vinavyoleta tja kwenye taifa, post kama hii haishushi adhi yako tu bali inashusha hadhi ya chama chako na kukatisha tamaa wapenda mabadiliko wanaofikiri CHADEMA ni sehemu ya kukimbilia Unafanya watu waamini kuwa Zito hakuwa na matatizo ila kwa kuwa alikuwa anatokea kigoma ndio maana mkaamua kumfukuza, sasa ofisi za CHADEMA kwenye mikoa hiyo wanachama zinapata wapi au wanachama wenu ni wachaga tu walioko kwenye hiyo mikoa?
Wewe kenge kweli umeweka CHADEMA ili upate uhalali kisiasa...operation kimbunga walipitisha chadema....mbona hukutetete ndugu zako km kweli unapenda undugu.Mpige watu mapanga wapi tenza zaidi ya kumpiga mvungi na wengine?
 
Kwanini Sasa? wakati enzi za VITA na IDD AMIN kulikuwa na MAOFISA waliokuwa na ASILI ya UGANDA -- WENGI TU na kulikuwa hakuna Matatizo yoyote... Ni jinsi Mtawala wa wakati huo anavyoendesha hiyo BEEF... *** STRONG LEADERSHIP MATTER
Kwa vile walikuwa ni wasaliti wa uganda.Utakuwa tayai kukabiliana na waasi wetu kwa faida ya ndugu zao wa Rwanda,burundi...?kwa taarifa yako kuna wahindi ambao baba yao mweyewe hakuwa hata najua ndugu wala kufika india,ila baada yao kufanikiwa na kuanza bisahra na india,wanaipenda indea kuliko Tanzania,same kwa waarabu wa bongo..baada ya kupata hela hutata urafiki na udugu kwa kuona kwa nguvu zote..kisha huamia ktk nchi za kiarabu.... kwa taarifa yako ni hulka ya makndi mengi ya watu wakifanikiwa kutaka kurudi ktk roots zao ili kuwa deep ktk utamaduni wao..na hilo upelekea kutosa values nyingi sana na nchi walizofanikiwa na kupata maisha.
 
Wataje kwa majina ambao unawahisi ni wa DRC,Burundi na DRC
ikusaidie nini?mbona huna akili....hata km ningependa wataja...kwanini msiwe mmewajua hadi wakafikia hapo?Au ndio ushindani wa kutaka jua kuwa haupo.au siwajui hata kama wapo.
 
wachaga na wakurya.
Nani aliweka hii sheria ya kibaguzi...?najua hii nchi kuna sehemu nyingi tuu watu duni wameajiamuliwa kuwa wachaga hawatakiwi...wakati wachaga wame excel ktk kila nyanja hapa nchini.
 
Acha ubaguzi wanaofanya kazi ikulu wanafanyiwa upekuzi(vetting) wa kufa mtu
Upekzi wa kikabila au wa uzalendo wao?Unajua watu hubadili ktk mioyo kwa umri...?vetting yenu ina vipimo hivyo? Kwa hiyo wachaga walishindwa hiyi vetting hadi mkawa na sherika ya kificho kuwa wasipewe nafasi?ipo siku mtafungua mkiguu tuu nchi ikiwashinda na kuwa hoi mtajikuta mkiwaomba waokoe jahazi...si uliona lilipoanguka jengo kariakoo...mlimwachia mbatia ghafla....?leo nchi inaangamia mmeachia mnaowaita wachaga..... si mlimuona hata alex massawe..akiwa simba soka yake haikuwa km ya wapumbavu wengine ambao siku zote hubanwa misuli siku ya mechi ngumu tuu..siku hawana akili mbadala. Ndio kila mahali nchini...angalia ktk uwekezaji, transportation,media.....media zenje akili, mabasi, ndege....you name iti....mafuta....etc ...hakuna.Jitende haki bana..mnajipa kazi kubwa mnaishia kulia eti mnahujumiwa.....JK muda wote analia anahujumiwa na upinzani....sijui watendaji wakati ana watanzania mil 47 at his disposal kubadili kilaza yoyote ikulu.... Leo hadi waziri CCM iliyomwachia kila mzigo ni Mwanri.....MNATIA IABU..MNANYIMA WENGINE NAFASI ZA KUFANIKISHWA
 
Wewe kenge kweli umeweka CHADEMA ili upate uhalali kisiasa...operation kimbunga walipitisha chadema....mbona hukutetete ndugu zako km kweli unapenda undugu.Mpige watu mapanga wapi tenza zaidi ya kumpiga mvungi na wengine?

Usikimbilie matusi, fikiria nje ya box ulilomo kwa maendeleo ya Taifa hili, ubaguzi naona ndio kawaida yako maana kila kisu unasifia ukabila kila wakati. Acha ukabila kuwa Mtanzania ufikiri kutoka Kilimanjaro basi wewe ndio Mtanzania peke yako
 
mbona wachaga wengi na wapare asili yao ni kenya, especialy watu wa rombo, achilia mbali wamasai. Mm nimesoma na wamasai wengi wenye asili ya kenya. Ila sasa hivi wako maeneo nyeti, utaniambia hao si watz. Usilete ubaguzi, wa makabila mtu atafikaje ikulu asijulikane alikotokea?kwa hiyo wasukuma wa geita, waha na wahaya hawatakiwi kuingia ikulu? Fanya kazi kijana ya ngoswe mwachie ngoswe
 
kama wapo wenye asili za huko basi ndio vizuri kwani wanaweza kujipenyeza huko kirahisi na kutuletea taarifa nyeti. sidhani kagame akitaka siri za bongo ataleta spy anafanana na yeye, ataleta spy kafupifupi kama joti.
 
haha..ukisoma nilichoandika ndio utaona shida..

Mie nimesoma na kurudia sijaelewa mwelekeo wa SWALI!! lako. Kanda ya Ziwa inajumuisha mikia (Mara.Shinyanga.Mwanza.Kagera.Geita) Kanda ya Magharibi inajumuisha mikoa ya (Rukwa. Katavi.Tabora na Kigoma).
wananchi wa maeneo hayo hawastahili kuwa usalama wa taifa? Ubaguzi huo unakidhalilisha chama cha demokrasia na maendeleo.
 
Kinachotokea russia leo ni kwamba warussi wanapeleka watu wao kwa wingi ktk jimbo, halafu baadae wanaleta shida, na kutaka vita au kura za maoni..wakijua kura wa watu wao zitapa favour, na hakuna tofauti na anachofanya kagame na wakabila wengine w amagharibi mwa tz
 
Usikimbilie matusi, fikiria nje ya box ulilomo kwa maendeleo ya Taifa hili, ubaguzi naona ndio kawaida yako maana kila kisu unasifia ukabila kila wakati. Acha ukabila kuwa Mtanzania ufikiri kutoka Kilimanjaro basi wewe ndio Mtanzania peke yako
ninachoongea hapa si kujisifu ni kutaja sifa halisi..na kutetea wachaga..tayari mnapiga vyama vita eti kwa vile kuna wachaga...sasa wachaga wakikohoa tuu mnashtuka hadi uti wa mgongo....HIvi wachaga wangerusha rocket kutoka kilimanjaro si mgejiozesha kabisa...huoni wabaguzi wenzio wanavyoshambulia wachga..unataka wanyamaze...
 
mbona wachaga wengi na wapare asili yao ni kenya, especialy watu wa rombo, achilia mbali wamasai. Mm nimesoma na wamasai wengi wenye asili ya kenya. Ila sasa hivi wako maeneo nyeti, utaniambia hao si watz. Usilete ubaguzi, wa makabila mtu atafikaje ikulu asijulikane alikotokea?kwa hiyo wasukuma wa geita, waha na wahaya hawatakiwi kuingia ikulu? Fanya kazi kijana ya ngoswe mwachie ngoswe
Mbona mpo wajinga sana nyie watu..wachaga si kabila moja...na hata warombo kuwa na asili na kenya na sasa hawana tena connection na yeyote kenya ni wazi kuwa wamejiasili..umewahi jiuliza wamasai na wachaga nani mtanzania kuliko mwingine..?mbona hamna kelele kwa wamasai...?wamasai wengi tuu wana ndugu kule na mara nyingi wamasai ni borderless... nani kasema wasukuma hawatakiwi...au ndi zuga ili usiguswe...?naona wengi sasa mnaanza kuwa na wasiwasi...wenyewe mnajijua kwa kusingizia kuwa ni waha,waangaza, wahaya etc....
 
Mie nimesoma na kurudia sijaelewa mwelekeo wa SWALI!! lako. Kanda ya Ziwa inajumuisha mikia (Mara.Shinyanga.Mwanza.Kagera.Geita) Kanda ya Magharibi inajumuisha mikoa ya (Rukwa. Katavi.Tabora na Kigoma). wananchi wa maeneo hayo hawastahili kuwa usalama wa taifa? Ubaguzi huo unakidhalilisha chama cha demokrasia na maendeleo.
basi ujue inawezekana haikukusudiwa kwa kiwango chako
 
I concur my first impression of Narcissism. Jitahidi ubadilike
 
Mbona mpo wajinga sana nyie watu..wachaga si kabila moja...na hata warombo kuwa na asili na kenya na sasa hawana tena connection na yeyote kenya ni wazi kuwa wamejiasili..umewahi jiuliza wamasai na wachaga nani mtanzania kuliko mwingine..?mbona hamna kelele kwa wamasai...?wamasai wengi tuu wana ndugu kule na mara nyingi wamasai ni borderless... nani kasema wasukuma hawatakiwi...au ndi zuga ili usiguswe...?naona wengi sasa mnaanza kuwa na wasiwasi...wenyewe mnajijua kwa kusingizia kuwa ni waha,waangaza, wahaya etc....

usianze matusi, hii ni forum jomba, si kila wazo lako kila mtu alisupport, my be ungetoa option, ya majibu unayo taka wewe, its seem your dont know to deal with the mind of people, toa hoja watu wakusikilize,
 
Mbona mpo wajinga sana nyie watu..wachaga si kabila moja...na hata warombo kuwa na asili na kenya na sasa hawana tena connection na yeyote kenya ni wazi kuwa wamejiasili..umewahi jiuliza wamasai na wachaga nani mtanzania kuliko mwingine..?mbona hamna kelele kwa wamasai...?wamasai wengi tuu wana ndugu kule na mara nyingi wamasai ni borderless... nani kasema wasukuma hawatakiwi...au ndi zuga ili usiguswe...?naona wengi sasa mnaanza kuwa na wasiwasi...wenyewe mnajijua kwa kusingizia kuwa ni waha,waangaza, wahaya etc....

usianze matusi, hii ni forum jomba, si kila wazo lako kila mtu alisupport, my be ungetoa option, ya majibu unayo taka wewe, its seem your dont know to deal with the mind of people, toa hoja watu wakusikilize. Topic kama hizi ni mhimu kwa ulinzi wa nchi yetu ila ukianza matusi thread inaboa
 
Nauliza tuu..km hawa jamaa wetu wanaotoka kanda ya ziwa na magharibi wakiw ana identity za mashaka na zinazobadilikabadilika ,na wenye asili ya ukabila uliotukuka hakuleti hatari ya kuja shughudia rais akipigwa risasi ikulu km kwa kabila? Nauliza hili kwa vile ktk watu wanaoweza badilisha identity na majina yao kirahisi na hata uraia wa nchi zao kutokea Burundi,kwenda Congo, na Rwanda au uganda, huku kwa tanzania wakijiita wa ngara, wakijiita wa bukoba au kigoma ....ni watu wanaotoka haya maeneo. Kwa sheria zetu za usalama za kuchagua makabila fulani na kuacha mengine naona km vile ni mikakatai mibaya sana kwani balance ikishapungua basi kutaanza kuwa na watu na mipaka ya kuingia watu wengine na baadaye nchi kuanza kuwa ktk state ya mapinduzi ya kikabila kila anapongia mtu asiye wao.

Swali je ikiwa hao watu ni kweli wa kutoka Ngara,Kigoma na Bukoba,hutakuwa umewabagua? Je watu kutoka hiyo mikoa hawana haki kama watanzania wengine kwasababu wanatoka mikoa karibu na DRC,Burundi na Rwanda? Unabidi uwe unafikiria upande wa pili kabla hujaanza kuandika tu.
 
Back
Top Bottom