Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
- Thread starter
- #41
Hizo ni assupmtions zako...za kulazimisha kisichopo....mimi naongelea waliodanganya sasa wewe unaleta sogaSwali je ikiwa hao watu ni kweli wa kutoka Ngara,Kigoma na Bukoba,hutakuwa umewabagua? Je watu kutoka hiyo mikoa hawana haki kama watanzania wengine kwasababu wanatoka mikoa karibu na DRC,Burundi na Rwanda? Unabidi uwe unafikiria upande wa pili kabla hujaanza kuandika tu.