Hivi uwepo wa maafisa wa Ikulu wenye asili ya Rwanda na Burundi si tatizo kwa usalama?

Hivi uwepo wa maafisa wa Ikulu wenye asili ya Rwanda na Burundi si tatizo kwa usalama?

Swali je ikiwa hao watu ni kweli wa kutoka Ngara,Kigoma na Bukoba,hutakuwa umewabagua? Je watu kutoka hiyo mikoa hawana haki kama watanzania wengine kwasababu wanatoka mikoa karibu na DRC,Burundi na Rwanda? Unabidi uwe unafikiria upande wa pili kabla hujaanza kuandika tu.
Hizo ni assupmtions zako...za kulazimisha kisichopo....mimi naongelea waliodanganya sasa wewe unaleta soga
 
Hizo ni assupmtions zako...za kulazimisha kisichopo....mimi naongelea waliodanganya sasa wewe unaleta soga

Kuna sehemu yoyote umeweka facts? sijaona jina, wala taarifa yoyote ya watu waliodanganya zaidi ya habari za kudhania. Wewe ndio unaleta blah blah...
 
usianze matusi, hii ni forum jomba, si kila wazo lako kila mtu alisupport, my be ungetoa option, ya majibu unayo taka wewe, its seem your dont know to deal with the mind of people, toa hoja watu wakusikilize. Topic kama hizi ni mhimu kwa ulinzi wa nchi yetu ila ukianza matusi thread inaboa
We mwehu sana..kuna haja ya kukubaliana kwani tupo ktk kuburgain bei ya bangi....ni fact wachaga si watu wa asili moja full stop.Wamasama ni wachaga na wameru, kuna wamasai, kuna wapare, kuna wakamba, na makabila mengine ayalipotea..kuna hadi pigmies...kuna wachaga wakongo.... wachaga ni conqerers..ndio maana hadi leo wanapoingia mahali ni km wanapigana vita bila silaha..vita yao ni ya mafanikio binafsi
 
Kinana naye sijui ni Mtanzania, David Mataka, naye ni mtanzania wa wapi? Wapo wengi mno ambao hata kwenye system na jeshini wapo ila basi sisi hatuko makini ila ninaamini siku moja itatugharimu.
 
Kinana naye sijui ni Mtanzania, David Mataka, naye ni mtanzania wa wapi? Wapo wengi mno ambao hata kwenye system na jeshini wapo ila basi sisi hatuko makini ila ninaamini siku moja itatugharimu.
Ndio maana kinana anaua tembo na kuwapa uraia majambazi na magaidi wa kisomali
 
Ramadhani Dau ni Mnubi ndio maana anagawana na wahuni wenzie mali za NSSF...wamanyema tangu mwanzo hawajawa watanzania ndio maana walikuw ana msikiti wao, wauza watumwa na uchawi..leo hii ndio wanaogawana nchi...na kila kitu wanakiita ni sawa.
 
Kuna sehemu yoyote umeweka facts? sijaona jina, wala taarifa yoyote ya watu waliodanganya zaidi ya habari za kudhania. Wewe ndio unaleta blah blah...
shida mnaingilia sana mada bila kujua mnachoingilia..hivi huoni kuwa hilo ni swali?sasa ni wewe useme km hakuna..au au hata watu wa hizo nchi wana uzalendo kiasi gani na si wanasikia amri ya kigali...?
 
Ni swali la kibaguzi.Najitahidi kutafakari kabla hujaanza kutujibu kama umetoka Mirembe.
 
Ni swali la kibaguzi.Najitahidi kutafakari kabla hujaanza kutujibu kama umetoka Mirembe.
Wewe ni mwehu sana.......UZALENDO wa mtu kuhojia ni ubaguzi?Mbona unajionyesha ulivyo kima.
 
Ndio maana kinana anaua tembo na kuwapa uraia majambazi na magaidi wa kisomali

Bila shaka, hana uchungu na nchi hii na rasilimali zake. Kuna siku kama hatalipa yeye, basi historia italipiza kwa vizazi vyake.
 
Zenj CCM hawana theluthi hata moja kisheria tayari, bara hawana hata theluthi mbili,kwani hata maccm wenyewe watagawanyika..CDM wote kutoa shibuda anayedhani atashindwa kwenda omba urojo...ni kwamba CCM imepiga bao na imeshakufa...
 
poor you.bado unajianika....huku hujavaa chupi.Hivi Uzalendo unapimwa kwa IQ ?

Sema yote..Poor you, sijui chupi still IQ yako ndogo bwana Nicholas. Na for the record hamna sehemu niliyosema uzalendo unapimwa na IQ but why should I bother to explain myself wakati ndiyo mwisho wa upeo wako.
 
u had come with a good topic, and people tried to provide their good opinion, lakini unabore kwa matusi yako, angalia kila anayechangia unamtolea matusi,anzia mwanzo wa thread mpaka mwisho utajidharau bure, unatukana tu, ok toa soln tutafanyeje kuwaondoa akina kinana hapo nec.
 
-sasa mbona unalilia kuwa mimi nina IQ ndogo...sijui umenipima lini..na kwa vipimo gani.. -sasa km umesoma vitabu vya Makamba sr.kwanini usiwe mjinga....hata km IQ yako unaamini ni kubwa.Kuwa smart hakumaanishi utapenda nchi..ila unaweza fanya samrt choice..na mara nyingine desire zinaweza kufanya uchague kitu kwa tamaa binafsi halafu bado uwe na maelezo ya ushawishi kwanini umechagua khicho kitu
 
u had come with a good topic, and people tried to provide their good opinion, lakini unabore kwa matusi yako, angalia kila anayechangia unamtolea matusi,anzia mwanzo wa thread mpaka mwisho utajidharau bure, unatukana tu, ok toa soln tutafanyeje kuwaondoa akina kinana hapo nec.
aha kumbe wana good opinioni kwa matusi wanayoniporomoshea..sina muda wa kujibizana na takataka..km wewe ni sumpathizer wao..mbona usianzishe camp thready...
 
Hivi kwani JK anapenda na watu hadi wa level gani?Nakumbuka hata kampeni ilikuwa zimamoto,muda wote ilikuwa baba,mama na mtoto
 
hili jambo me silihafiki na linaniuma kwanini uweke wageni Ikulu CIA hawwafanyi huo ujinga kwani Raia wa nchi nyingne kumuweka Ikulu ni kuteka siri zako na rahisi kukumaliza kikwete kabla ujatoka fukuza wote ikulu kwa uslama wa Tanzania
 
Back
Top Bottom