Hivi V8 ya Ray Kigosi aliyomjibu marehemu Kanumba bado ipo?

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kipindi cha mwaka 2011 tasnia ya bongo movie hawa majamaa wawili Ray na Kanumba waliweza kuleta mapinduzi makubwa sana na kama Kanumba angekuwepo basi tungekuwa mbali sana.

Waswahili wanasema bila ugali bila mboga basi sio chakula kitakuwa majina tofauti.

Ray miaka ile kabla mambo mengi watu wengi walikuwa wakitegemea sana magazeti yaliyojizolea umaarufu kama Ijumaa, Wikiendi, Uwazi, Amani n.k

Kuna kipindi mpaka alishawahi kuhojiwa kuna pesa anazo na mpaka kumiliki gari ya v8 kipindi hiko 2011.

IMG_6746.jpg

IMG_6745.jpg

IMG_6743.jpg
 
Miaka ile mpaka wakasema mmoja kahusika kumtoa mmoja na bla bla nyingi.

Naona wote walikuwa na vijisenti hivyo shida ikaja kuchukuliana nanihii

Magari yote hayakua yao waliazimwa na wahindi wasambazaji wa kazi zao, ray kimsingi alikua anatembelea nyota ya kanumba ni kama kiba na domo siku domo akifa hutomsikia kiba tena
 
Kipindi cha mwaka 2011 tasnia ya bongo movie hawa majamaa wawili Ray na Kanumba waliweza kuleta mapinduzi makubwa sana na kama Kanumba angekuwepo basi tungekuwa mbali sana.

Waswahili wanasema bila ugali bila mboga basi sio chakula kitakuwa majina tofauti.

Ray miaka ile kabla mambo mengi watu wengi walikuwa wakitegemea sana magazeti yaliyojizolea umaarufu kama Ijumaa, Wikiendi, Uwazi, Amani n.k

Kuna kipindi mpaka alishawahi kuhojiwa kuna pesa anazo na mpaka kumiliki gari ya v8 kipindi hiko 2011.

View attachment 2219356
View attachment 2219357
View attachment 2219358
Big mind discuss issues

Little mind discuss people
 
Oklahoma
 
Back
Top Bottom