MEGATRONE
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 1,140
- 2,141
Tanzania hakuna movie ni maigizo tu! Af kibaya zaidi hakuna telents mtu akipata tu jina anataka nae aigize movie! Mfano Wema kaanza kuigiza baada ya kutoka miss tz, idriss baada ya kutoka big brother! Yani mtu uache kuangalia extraction uangalie mazinga umbe ya bongo movie kweliđźš®