Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,058
- 1,609
Kwenye uigizaji walionza wote na kundi la Kaole, lakini kwenye movie alianza kanumba na Vicent ndio akafuataHata hapo kwa ray na kanumba si alianza ray ama na mie namix ma file
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye uigizaji walionza wote na kundi la Kaole, lakini kwenye movie alianza kanumba na Vicent ndio akafuataHata hapo kwa ray na kanumba si alianza ray ama na mie namix ma file
Unataka kusema mpaka leo Ray anaishi kwao?[emoji848]Ilikuwa muvi tu.kanumba hajaawahi kumiliki v8 na Ray mpaka Leo anaishi kwao..hana nyumba
So mtu akipishana mawazo na wewe ni shabiki maandazi wewe ndio upo sahihiKuna mishabiki maandazi itakuja kubisha hapa.
Ray ndie alianza kipindi Kanumba anatoka na tamthilia ya Taswira ple Kaole Ray alishaonekana tamthilia kadhaa kabla yake akiwa na wakongwe wengine Mtunis,Cheni n.k ila Kanumba akili mingi na kujiongeza baadae ikaonekana km yeye ndie mkongwe kuliko RayKwenye uigizaji walionza wote na kundi la Kaole, lakini kwenye movie alianza kanumba na Vicent ndio akafuata
Kwenye movie uko sahihi Kanumba wa kwanza ila ustar ulianza na RayRay ndie alianza kipindi Kanumba anatoka na tamthilia ya Taswira ple Kaole Ray alishaonekana tamthilia kadhaa kabla yake akiwa na wakongwe wengine Mtunis,Cheni n.k ila Kanumba akili mingi na kujiongeza baadae ikaonekana km yeye ndie mkongwe kuliko Ray
Naona umeona ujijibu mwenyeweKwenye movie uko sahihi Kanumba wa kwanza ila ustar ulianza na Ray
Na umedhihirisha usahihi wa kauli yangu. Tena wewe ni shabiki vitumbua kabisa.So mtu akipishana mawazo na wewe ni shabiki maandazi wewe ndio upo sahihi
Acha roho mbayaHua nawaonea huruma wanaoaamini Kanumba angekuepo filamu zingekua advanced.
Hebu taja muvi yake moja ambayo tukiambiwa tupeleke muvi yetu bora tutaichukua na kuipeleka.
Mimi ni wa kitambo kidogo nimeangalia Shamba Kubwa, The Witness, Mzee Toboa Tobo (Sultan Tamba huyu), Girlfriend, Misukosuko, Nsyuka, Fungu la Kukosa etc
Bongo hatutatoboa mpaka tujue kuandika script na wahusika wanaojielewa, kwangu Kanumba na Ray ni average actors and awful directors.
Acha ufala.Acha roho mbaya
Soon dhambi kukubali kazi nzuri ya mtu mwingine
Unasemaje kuhusu Moses ya Steven kanumba?
Village pastor, Oprah, red valentine, family tears na nyingine nyingi
Acha roho mbaya ndugu
mwaka wa kumi huu toka afariki,unafikiri kama alianza kuzurula nigeria miaka ile 2008 leo hii angekuwa kashafika wapi???Hua nawaonea huruma wanaoaamini Kanumba angekuepo filamu zingekua advanced.
Hebu taja muvi yake moja ambayo tukiambiwa tupeleke muvi yetu bora tutaichukua na kuipeleka.
Mimi ni wa kitambo kidogo nimeangalia Shamba Kubwa, The Witness, Mzee Toboa Tobo (Sultan Tamba huyu), Girlfriend, Misukosuko, Nsyuka, Fungu la Kukosa etc
Bongo hatutatoboa mpaka tujue kuandika script na wahusika wanaojielewa, kwangu Kanumba na Ray ni average actors and awful directors.
Baada ya kwenda na kuigiza na wakina Ramsay nini kikafuata?mwaka wa kumi huu toka afariki,unafikiri kama alianza kuzurula nigeria miaka ile 2008 leo hii angekuwa kashafika wapi???
sisi tunatathmini uthubutu sio aina ya kazi alizofanya mkuu.
Noma Sana , jamaa kajisahauNaoma umeona ujijibu mwenyewe
Jamaa Kaona Isiwe Tabu [emoji23]Naoma umeona ujijibu mwenyewe
nakuelewa ndugu kuhusu tasnia ya filamu bado sana kwa hapa Tanzania tunakosa madirector wazuri hapa mpaka watu wapitie shule ya kutosha,cinematography,script writer,editor wazuri kidogo tunaweza kufanya jambo la maana.Acha ufala.
Kutokikubali kitu ni roho mbaya? Acha ufala.
Kwa wenzetu Marekani soko la filamu linahama na kubadilika kuendana na wakati husika mfano zamani ilikua filamu nyingi ni za action waliita badassery baada ya hapo ikaja kwenye drama, crime na comedy. Zikaja biopics n.k.
India wakaona hilo wakaiga, kuna muvi inaitwa Kramer vs Kramer wahindi wakaiiga hamna action ni drama tupu.
Sisi tulianza na action hizo shamba kubwa, tukatrnsform tukaingia kwenye drama na horror kwa msaada wa Sultan. Alivyokuja Ray na Kanumba wakaingia kwenye romance na wakastick nayo wakasimamisha gurudumu la filamu hapo, hapa Tanzania kuna historia ya vita, kuna maeneo yana historia kama za Mzimu wa Kolelo, kuna watu mashuhuri wamepita, tuna mwanariadha aliumia mguu akiwa mashindanoni huko Ulaya na akalazimisha kumaliza mbio, hizo ni aina ya filamu zingeweza kupambana huko nje.
Uigizaji wao ni average with their awful directing hakuna movie hata moja kutoka kwa hao wawili unaweza ukabrag kwa mgeni kwamba tukae chini tuangalie. Sasa katika muvi ulizonitajia hapo andika moja moja kisha sema hii inahusu mhusika aliyetaka moja mbili tatu kwa ufupi.
Acha ufala.
Kwa hiyo anashinda saloon tu muda wote, hana kazi za kufanya?Ray anamiliki harrier tako la nyani ya silver kwa ushahidi zaidi nenda magomeni pale lango la jiji kuna saloon ya bitego ndio anapendelea kuwa pale
Period
HIzo village pastor, oprah, red valentine ,family tears sio muvi za kanumba aliigiza tu akalipwa ni muvi za mtitu zote labda hiyo mosesAcha roho mbaya
Soon dhambi kukubali kazi nzuri ya mtu mwingine
Unasemaje kuhusu Moses ya Steven kanumba?
Village pastor, Oprah, red valentine, family tears na nyingine nyingi
Acha roho mbaya ndugu
Oyaa mangi inakuwaje?Hipo
Nakubali kigumu kigumu tunawaelewa wakurya tarime moja hii bila shaka[emoji23][emoji23]Mleta mada unatokea mkoa wa Mara bila shaka.