Miaka ile mpaka wakasema mmoja kahusika kumtoa mmoja na bla bla nyingi.
Naona wote walikuwa na vijisenti hivyo shida ikaja kuchukuliana nanihii
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mleta mada unatokea mkoa wa Mara bila shaka.
Umeanza kumsikia Kiba kabla ya Domo ila sasa unaamimi Domo akifa Kiba hatasikika.Magari yote hayakua yao waliazimwa na wahindi wasambazaji wa kazi zao, ray kimsingi alikua anatembelea nyota ya kanumba ni kama kiba na domo siku domo akifa hutomsikia kiba tena
Kuna mishabiki maandazi itakuja kubisha hapa.Magari yote hayakua yao waliazimwa na wahindi wasambazaji wa kazi zao, ray kimsingi alikua anatembelea nyota ya kanumba ni kama kiba na domo siku domo akifa hutomsikia kiba tena
Alianza kusikika kiba kabla ya huyo domo tena na hit songs nyingi tuu labda kama umezaliwa mwaka 2012Magari yote hayakua yao waliazimwa na wahindi wasambazaji wa kazi zao, ray kimsingi alikua anatembelea nyota ya kanumba ni kama kiba na domo siku domo akifa hutomsikia kiba tena
Hata hapo kwa ray na kanumba si alianza ray ama na mie namix ma fileAlianza kusikika kiba kabla ya huyo domo tena na hit songs nyingi tuu labda kama umezaliwa mwaka 2012
Big mind discuss issuesKipindi cha mwaka 2011 tasnia ya bongo movie hawa majamaa wawili Ray na Kanumba waliweza kuleta mapinduzi makubwa sana na kama Kanumba angekuwepo basi tungekuwa mbali sana.
Waswahili wanasema bila ugali bila mboga basi sio chakula kitakuwa majina tofauti.
Ray miaka ile kabla mambo mengi watu wengi walikuwa wakitegemea sana magazeti yaliyojizolea umaarufu kama Ijumaa, Wikiendi, Uwazi, Amani n.k
Kuna kipindi mpaka alishawahi kuhojiwa kuna pesa anazo na mpaka kumiliki gari ya v8 kipindi hiko 2011.
View attachment 2219356
View attachment 2219357
View attachment 2219358
Imagine at the age of 24 Kanumba aliweza kumiliki hayo yote 😥Miaka ile mpaka wakasema mmoja kahusika kumtoa mmoja na bla bla nyingi.
Naona wote walikuwa na vijisenti hivyo shida ikaja kuchukuliana nanihii
OklahomaKipindi cha mwaka 2011 tasnia ya bongo movie hawa majamaa wawili Ray na Kanumba waliweza kuleta mapinduzi makubwa sana na kama Kanumba angekuwepo basi tungekuwa mbali sana.