Hivi vazi la ndani (chupi) lina umuhimu gani kiafya?

kuna tofauti ya kukaa "uchi" na kukaa "nusu uchi" nadhani ndio chupi inapoingia hapo.
 
Mimi nadhani ni kama kofia. Uvae usivae haina majoto. Muhimu una boxer kama ni wa kiumeni au una tyt kama ni she.
 
kazi yake ni kuzibana sehemu za siri tight ili zisibanwe na nguo za nje na kuonekana,pia kwa akina mama/dada asipova akiwa amevaa gauni au sketi akikaa au kuinama si kila kitu kitaonekana? Pia inasaidia kama dharura pale suruali au kaptula ikichanika ghafla
 
Huu uzi nimeukuta huku jf na kuna walio pendekeza uje huku jf Dr ili majibu yapatikane ila kun vilaza waliona jamaa alikosea coz kwao kila kitu ni kutoamapovu tu.
Kwa upande wangu naona kuvaa chupi ni mazoea ya kuiga kila kitu kutoka kwa wazungu wakati ni tofauti na kwetu.Kwa nini nasema hivyo.
1.Mwanaume anavaa chupi kuzuia ndoga isisiname na kuwa kama mshale mbele hivyo chupi inaibana na pia kuzuia isichezecheze.Kwa nn wao waliona hiyo wazungu wa kike wanapendpa wanavaa nguo za kuacha miili yao nusu uchu au uchi kabisa hii ilisababisha wanaume ndonga kusimama mara kwa mara na ili kukabiliana na hili ni kuvaa chupi.bt baada ya kuzoea miili yao sasa wanavaa boxer na kiukweli boxer hazibani.hivyo hapo kilichosaidia ni mazoea ya hali halisi.
2.Kwa wanawake kuna sababu kuu mbili.moja kubana ped wakati wa hedhi.mbili kuzuia makalio kutechezacheza na kuyabana vizuri.Hili la kwanza nakubaliana nalo hadi kwetu bt la pili kwa waafrika halina mana kwani miili ya kiafrika imeumbwa imekaza na sio kutepweta kama wazungu na nzuri zaidi watoto wa kike wakati wakiwa wachanga wanakandwa ili kukaza na kutengeneza shep zao.Kwa wenzetu sasa wameona hali kidogo nzuri kwa ajili ya mazoezi ------ hayatepweti tena wamekuja na bikini hizi hazibani bt si kamba tu kama walizokuwa wanatupia dada zetu long.au kule kwa wasonjo na wabaribaik now.
Nakubaliana na wanaosema tunaiga tu.
kwani chupi za kubana zina matatizo sana na kama hautaki kubanwa unavaa ya nini?
Kwa sasa hata brazia kwa wanawake wanaanza kuacha angalia mastar wa kizungu now bt si toka zamani dada zetu walikuwa hawavai wakaonekana washamba?
Angalizo sio kila wanachofanya wazungu ni cha kuiga kwani wao wanatutoa kwenye yetu mazuri wanatupa yao then wanaturudisha tena wanajifanya wao ndio wagunduzi.(Ni mtazamo).
 
Kuna faida nyingi za kuvaa chupi kuliko unavyodhani kwa wote wanawake na wanaume,niko bize kidogo ngoja nitakumwagia hapa baadae.
 
Kwa dada zetu chupi ni muhimu hasa wkt Wa hedhi Na kna cc ni muhim kwani boxer peke yake sio kwani mshidede unaweza ukacmama dede kwa hisia za ugwadu hlf uisome mbele ya semina au mbio za mwenge
 
ni kama vile unaponunua simu ukaitoa kwenye box,utaikuta imefungwa na nailoni kwa ndani,kwahiyo kazi ya chupi ni kama ile nailoni,upo?kiufupi ni kuongeza hamasa kwa mtumiaji awe na morali wa kukifikia kile kilichopo ndani,imagine umetumiwa zawadi ukafungua box ndani ukakutana na nailoni likaja tena box,mara unakutana na maboya.uchu unaongezeka.hili ni angalizo kwa wale wanaopenda kuvaa maguo mengi wakidhani wanaongeza guard.lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…